Kenya has less Paved Roads compared to Tanzania. (Kenya 44,100 km while Tanzania 85,000km)

I've read somewhere that untill the end of 2018 paved roads in Tz should be 12,000+ kms ,the aim is to make sure that all trunk roads are paved!!

Hehehe sasa mleta mada anasema Tanzania has a freaking 85,000km of paved road, hapa Afrika if am not mistaken kuna labda nchi nne zimekidhi urefu huo.
 
Umemjibu vizuri sana. Anataka kutuaminisha kwamba kwa 86000km ,85000 ni surfaced. Huyu Melissaaa hukurupuka kufungua nyuzi bila kufikiria kwanza. Ten ameshindwa kuleta ushahidi
 
Wewe zero brain kabisa...Sisi hapa tunaongelea barabara za agency zote na sio za Tanroads..Hapo tumeweka Total Roads zaTANROADS, TARURA, Halmashauri na Wilaya...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hehehe sasa mleta mada anasema Tanzania has a freaking 85,000km of paved road, hapa Afrika if am not mistaken kuna labda nchi nne zimekidhi urefu huo.
Nyie mko na 14thou tu
 
Hehehe sasa mleta mada anasema Tanzania has a freaking 85,000km of paved road, hapa Afrika if am not mistaken kuna labda nchi nne zimekidhi urefu huo.
Utalia sana.. Lakini hizo ndo fact...Kulia lia tu kijana..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huo mkeka ulikua ni wa budget ya barabara kwa mwaka huu walikua wametenga 1.5trillions tshs kuwalipa wakandarasi pamoja na muendelezo wa barabara zinginezo, sina tena document ile nilifuta
Hapo nimekuelewa mkuuπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Umemjibu vizuri sana. Anataka kutuaminisha kwamba kwa 86000km ,85000 ni surfaced. Huyu Melissaaa hukurupuka kufungua nyuzi bila kufikiria kwanza. Ten ameshindwa kuleta ushahidi
Nakuona unalia sana...Nimewka facts mezani lakini nyinyi mnatoa mnachofikili..Mwenzako anataka ni deal na barabara za Tanroad pekee wakati hapo nimejumuisha na Tarura, Halmashauri na Wilaya..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mlikuwa hamjui hata maana ya paved roadsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Am a Tanzanian (and would love our country to outperform Kenya and all other African countries if not in the entire world) but what you wrote here is stupid. Why? Remember that Tanzania is bigger than Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi combined. So what is the relative percentage comparison of paved roads between the two countries?
 
Nyie mko na 14thou tu

Yeah! I agree zetu 14,000km paved road is not much to write home about, lakini nyie the last time I checked hata hamkua mumefikisha 8,000km leo nashangaa mnaibuka na 85,000km paved, yaani mumeshinda nchi kama Denmark.
 
Last time data za mwaka gani...maana hua kuna mkeka wa 2014 ndio kulikua na 7600+kms lakini muda sasa umesogea barabara nyingi zimejengwa tayari..it's possible zimeshafika 12thou kwa mWaka huu
 
Yeah! I agree zetu 14,000km paved road is not much to write home about, lakini nyie the last time I checked hata hamkua mumefikisha 8,000km leo nashangaa mnaibuka na 85,000km paved, yaani mumeshinda nchi kama Denmark.
Wewe lia tu...Mimi source yangu ni total paved roads sio trunk roads..
 
H
Mimi nimeitisha ushahidi wa paved roads.Kama ni 80000 si mngekuwa nambari moja afrika ama top 10.
Njoo na facts sio unajibu hoja kwa misitari miwili kwa mada kubwa kama hii..Hapa sio Twitter kuwa unakuwa limited kuji express...Au umeshikiliwa simu???
 
mulisaaa njoo usomee shule za Kenya ama Uganda upunguze ujinga wako kama sio ule wa kuzaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…