Kenya has less Paved Roads compared to Tanzania. (Kenya 44,100 km while Tanzania 85,000km)

Kenya has less Paved Roads compared to Tanzania. (Kenya 44,100 km while Tanzania 85,000km)

I've read somewhere that untill the end of 2018 paved roads in Tz should be 12,000+ kms ,the aim is to make sure that all trunk roads are paved!!

Hehehe sasa mleta mada anasema Tanzania has a freaking 85,000km of paved road, hapa Afrika if am not mistaken kuna labda nchi nne zimekidhi urefu huo.
 
Nimekupa ramani ya barabara zote za Tanzania, hiyo ramani hapo haionyeshi tu barabara zilizo chini ya TANROAD.
Unayo matatizo makubwa kielimu, yaani unataka kumaanisha mumewashinda hata Nigeria kwa paved road, unajua maana ya paved road kweli au unahangaika.
Hehehe eti yaani mumeshinda hadi Morocco, nchi ambayo huwapa nyie misaada.....
Mumeshinda hata Denmark.... Yaani kama kuna Watanzania waliobahatika kwenda shule na wanasoma huu uzi lazima wanahisi aibu ya mwaka.
Umemjibu vizuri sana. Anataka kutuaminisha kwamba kwa 86000km ,85000 ni surfaced. Huyu Melissaaa hukurupuka kufungua nyuzi bila kufikiria kwanza. Ten ameshindwa kuleta ushahidi
 
Wewe zero brain kabisa...Sisi hapa tunaongelea barabara za agency zote na sio za Tanroads..Hapo tumeweka Total Roads zaTANROADS, TARURA, Halmashauri na Wilaya...😂😂😂
 
Hehehe sasa mleta mada anasema Tanzania has a freaking 85,000km of paved road, hapa Afrika if am not mistaken kuna labda nchi nne zimekidhi urefu huo.
Nyie mko na 14thou tu
 
Hehehe sasa mleta mada anasema Tanzania has a freaking 85,000km of paved road, hapa Afrika if am not mistaken kuna labda nchi nne zimekidhi urefu huo.
Utalia sana.. Lakini hizo ndo fact...Kulia lia tu kijana..😂😂😂
 
Huo mkeka ulikua ni wa budget ya barabara kwa mwaka huu walikua wametenga 1.5trillions tshs kuwalipa wakandarasi pamoja na muendelezo wa barabara zinginezo, sina tena document ile nilifuta
Hapo nimekuelewa mkuu👏👏👏
 
Umemjibu vizuri sana. Anataka kutuaminisha kwamba kwa 86000km ,85000 ni surfaced. Huyu Melissaaa hukurupuka kufungua nyuzi bila kufikiria kwanza. Ten ameshindwa kuleta ushahidi
Nakuona unalia sana...Nimewka facts mezani lakini nyinyi mnatoa mnachofikili..Mwenzako anataka ni deal na barabara za Tanroad pekee wakati hapo nimejumuisha na Tarura, Halmashauri na Wilaya..😂😂😂Mlikuwa hamjui hata maana ya paved roads😂😂😂🤣
 
Tanzania has doubled Kenya in terms of Paved roads..Kenya has 44,100km while Tanzania has 85,000km.. What real went wrong after independence???View attachment 960600View attachment 960601

SEARCH FOR: HOME ROADS Roads Tanzania Roads Road transport is the most widely used form of transport in Tanzania, carrying over 90% of the passengers and 75% of the freight traffic in the country. The number of road passengers in Tanzania rose by 32%, from 8,750 in Q2 2015 to 11,546 in Q2 2016.

The road network in Tanzania currently comprises 86,472 km of roads, of which 12,786 km are trunk roads, 21,105 km are regional roads and the remaining 52,581 km are district, urban and feeder roads.

Am a Tanzanian (and would love our country to outperform Kenya and all other African countries if not in the entire world) but what you wrote here is stupid. Why? Remember that Tanzania is bigger than Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi combined. So what is the relative percentage comparison of paved roads between the two countries?
 
Nyie mko na 14thou tu

Yeah! I agree zetu 14,000km paved road is not much to write home about, lakini nyie the last time I checked hata hamkua mumefikisha 8,000km leo nashangaa mnaibuka na 85,000km paved, yaani mumeshinda nchi kama Denmark.
 
Last time data za mwaka gani...maana hua kuna mkeka wa 2014 ndio kulikua na 7600+kms lakini muda sasa umesogea barabara nyingi zimejengwa tayari..it's possible zimeshafika 12thou kwa mWaka huu
 
Yeah! I agree zetu 14,000km paved road is not much to write home about, lakini nyie the last time I checked hata hamkua mumefikisha 8,000km leo nashangaa mnaibuka na 85,000km paved, yaani mumeshinda nchi kama Denmark.
Wewe lia tu...Mimi source yangu ni total paved roads sio trunk roads..
 
H
Mimi nimeitisha ushahidi wa paved roads.Kama ni 80000 si mngekuwa nambari moja afrika ama top 10.
Njoo na facts sio unajibu hoja kwa misitari miwili kwa mada kubwa kama hii..Hapa sio Twitter kuwa unakuwa limited kuji express...Au umeshikiliwa simu???
 
Meanwhile in S.A.
Screenshot_2018-12-08-21-24-04.jpg
Screenshot_2018-12-08-21-24-15.jpg
Screenshot_2018-12-08-21-25-29.jpg
 
mulisaaa njoo usomee shule za Kenya ama Uganda upunguze ujinga wako kama sio ule wa kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom