Ahsante sana Mkenya uliye vaa gwanda la Kitanzania.πππAcha kua kama kenge ww, leta taarifa za paved road sio mtandao wa barabara Za vumbi hapa,izo 86thou ndio classified road but mada mezani ni zilizosurfaced pekee !!zikizidi sana ni 12thou muda mwingine sio unakuja kutukana watu hapa bila sababu za msingi
Binti Melissaaa.Explain this[/QUOTE]The road network inTanzania currently comprises 86,472 km of roads, of which12,786 km are trunk roads, 21,105 km are regional roads and the remaining 52,581 km are district, urban and feeder roads.
Msamehe huyo...ππππHuyo mimi nilisha mshitukia toka zamani...Huyo ni Mkenya sema aajifanya Mtanzania....πππYuko busy ana switch account....πππSababu akili yako finyu nilitegemea ingefanya simple research ya hizo Barabara za lami nilizokutajia and by the way siwezi argue na wewe 24/7 upo ndani kama battery so keep believing on what your short sight gives you.
Hahaha Mi mtz banaAhsante sana Mkenya uliye vaa gwanda la Kitanzania.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe huwa unashilikisha ubongo unapo post thread zenye zero replies??ππ
π π π π Sio kosa lake unajua haya maendeleo ya Tanzania yametokea kwa muda mfupi sana sasa bado watu wapo na mediavel Tanzania kwenye akili zao wakati wao wanakoroma fofofo wakijua wameshaliza kazi zote na Tanzania wameshaipita, wanafikiria Tanzania tulikua tumelala kama wao,Ahsante sana Mkenya uliye vaa gwanda la Kitanzania.πππ
Binti Melissaaa.Explain this[/QUOTE]The road network inTanzania currently comprises 86,472 km of roads, of which12,786 km are trunk roads, 21,105 km are regional roads and the remaining 52,581 km are district, urban and feeder roads.
Road network ni 86k.Understand that first then search the meaning of a paved road. Wewe na Melissa hamueleweki hata kidogo.[/QUOTE]Kama lami yote iliyopo Tanzania ingepelekwa Kenya na Rwanda hakuna mahali pa kulima pangebaki
Msome mzee mzima BULLDOZER aliezijenga
Mtu mzima una mwaga mapovu kwa uchungu [emoji23] [emoji23] [emoji23] !! Pole sana sina namna ya kukusaidia ndugu yangu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hehehehe!! Nilifikiria utakua na ufahamu, nikafikiria labda unampa mwenzio morale aendelee kujibaraguza, duh kumbe hata wewe unang'ang'ania na kuamini eti TZ ina 85,000km paved. Aki ya nani nyie ni kichekesho mpaka raha.
Nchi yenu ukubwa wake 945,000 square kilometres barabara zenu zote ni urefu wa 87,581km
Hapo ukifanya combination ya paved Trunk Roads, Regional Roads, District Roads,Urban Feeder roads hazijafikia 10,000km
Mnamo mwaka wa 2013 mlikua na total ya 7,611km paved.
Afrika bado mbali sana, yaani nchi kuwa na 85,000km paved halafu bado inatajwa ndani ya maskini wa kutupwa kwenye LDC.....
Hivi unajua ukubwa wa Israel ni 20,770 kmΒ² yaani hata ni ndogo kuliko mkoa wenu wa Arusha lakini wana paved road zaidi ya nchi yenu yote, zaidi ya muungano wenu wa nchi mbili.
Kutojua kutumia lugha fulani kwa ufasaha na yenyewe ni aibu!!!???
Thank you.Acha kua kama kenge ww, leta taarifa za paved road sio mtandao wa barabara Za vumbi hapa,izo 86thou ndio classified road but mada mezani ni zilizosurfaced pekee !!zikizidi sana ni 12thou muda mwingine sio unakuja kutukana watu hapa bila sababu za msingi
Huyo jamaa unayejadili nae yuko na thread zaidi ya kumi zote zina zero reply...nyingine vews chini ya 50....Hajui kuwa hata kingereza sio lugha inayo ongoza kuzungumzwa Duniani...[emoji23][emoji23][emoji23]Nchi za Asia na maendeleo yake hazizungumzi kingereza..Mwambie aende Germany, Russia na France kusoma na kingereza chake aone watamwambia nini...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukweli ni kwamba hadi mwaka huu June, Tanzania tumefikisha 18,000Km of tarmac roads, ninawaletea data soon.Acha kua kama kenge ww, leta taarifa za paved road sio mtandao wa barabara Za vumbi hapa,izo 86thou ndio classified road but mada mezani ni zilizosurfaced pekee !!zikizidi sana ni 12thou muda mwingine sio unakuja kutukana watu hapa bila sababu za msingi
ππππHivi unajua upo ndani ya Thread ya nani??ππππHii hoja ni yangu....Najua thread zako zinagonga zero so karibu sana kwenye yangu...Hii ndo Great thinker....πππNaona umeniquote karibu kila ninacho post hapa, nimejaribu kukupuuza maana ni wazi haujafikia level ya kujadili na mimi chochote, itabidi ukasome some kidogo.
Kwa taarifa yako, huwa hatuleti taarifa humu ili tushindane replies, cha msingi ni kuwataarifu wanaJF kuhusu mambo tofauti.
Ingekua ni ushindani wa kutafuta replies, ni rahisi sana maana unaweza ukaanzisha uzi kama huu ulioanzisha hapa ambao unaonyesha ulivyo mtu wa kiwango cha chini sana kwenye uelewa wa mambo, nyuzi kama hizi huwa na replies nyingi sana wadau wakijaribu kukuelimisha, japo ukiwa king'ang'anizi uzi unakwenda kurasa kadhaa.
Sawa jitetee kama ndugu zako...πππHahaha Mi mtz bana
Ahsante kwa kutuwekea data za Agency moja(Tanroads) ya barabara...Tanzania jumla zipo Nne...πππRoad Network Length and classification - Tanzania Mainland
The classified road network financed by the Roads Fund is about 87,581 km where only 8.7 percent equivalent to 7,611 Km is paved and 91.3 percent are unpaved and therefore susceptible to heavy rain.
The attachment shows breakdown of the entire road network and the state of pavement.
Financial Year:
2013/2014
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland | roadsfund
https://roadsfund.go.tz/sites/default/files/RoadNetworks/Road Network in Tanzania Mainland_0.doc
Kenya mna 9000 hii ya Tanzania ni statistics za 2014Yani wako na 7k paved pekee na ncho ni mara mbili ya kenya