Kenya has less Paved Roads compared to Tanzania. (Kenya 44,100 km while Tanzania 85,000km)

Kenya has less Paved Roads compared to Tanzania. (Kenya 44,100 km while Tanzania 85,000km)

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Tanzania has doubled Kenya in terms of Paved roads..Kenya has 44,100km while Tanzania has 85,000km.. What real went wrong after independence???
2018-12-08_18.54.46.jpg
2018-12-08_18.55.46.jpg

SEARCH FOR: HOME ROADS Roads Tanzania Roads Road transport is the most widely used form of transport in Tanzania, carrying over 90% of the passengers and 75% of the freight traffic in the country. The number of road passengers in Tanzania rose by 32%, from 8,750 in Q2 2015 to 11,546 in Q2 2016.

The road network in Tanzania currently comprises 86,472 km of roads, of which 12,786 km are trunk roads, 21,105 km are regional roads and the remaining 52,581 km are district, urban and feeder roads.
 
Subiri kulowa damu kwa hasira za jirani zako[emoji23][emoji23][emoji23]
Watatoa Povu balaa.. Ukisoma hii source utaona kuwa nimewapendelea sana kuwa source inayo onyesha kuwa wana paved roads nyingi😂😂😂👇👇👇👇👇

1,800km of roads paved in 2014 as State moves to open up rural areas

The newly paved roads are equivalent to what Kenya has developed in the four years to 2013.

The growth comes as the country is looking to enter a period of more intense road development under the annuity programme that will see 10,000km paved in the next five years.

The growth in the length of paved roads corresponds to a huge jump in the resources allocated to the sector.

Advertisement

Nearly 1,800 kilometres of roads were paved last year as the government moved to open up rural areas.

The newly paved roads are equivalent to what Kenya has developed in the four years to 2013, underlining the quest by President Uhuru Kenyatta’s government to increase motor ways over the next five years.

This pushed the total paved roads network to 13,000km last year, up from 11,230 in 2013 and 10,900km in 2010, according to the Economic Survey, 2015 released Wednesday.
 
Halafu juzi AfDB imetoa fedha za +300km btn Tanzania n Burundi ukiacha +300km nyingine mradi wa Rukwa-Tabora. Pia kuna +450km btn Malindi n Bagamoyo with nearly 270 km in Tanzania.
Pia kuna pesa za Road Fund zinafanya kazi kwenye barabara za halmashauri zote hapa Tanzania. TARURA kwa sasa anapiga kazi sio mchezo....😂😂😂
 
Halafu ujue siku hizi @mod wanawapiga watu ban kwa kuleta taarifa za uwongo, chukua muda wako kuelewa taarifa kabla ya kupata mihemko ya kuzileta huku. Ingia kwenye official source ya Tanzania Tanroad na wengine, soma kwanza halafu uje http://tanroads.go.tz/uploads/files/Trunk_and_Regional_Road_Map.pdf
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland | roadsfund

Kwanza kabisa tafuta mtu akutafsirie nini maana ya 'paved road'
- Kenya imeizidi Tanzania kwa road network
- Kenya imeizidi Tanzania kwa classified road
- Kenya imeizidi Tanzania kwa paved road

Kenya imeizidi Tanzania kwa kila kitu, kielimu, kiuchumi yaani kila kitu.
 
Wewe zero brain..Hapa kuna Agency nyingi zinazo fanya kazi ya ujenzi wa barabara...Tena kuna agency mpya imekuwa formed na Magufuli inaitwa TARURA...Yenyewe inakuwa inafanya ujenzi wa barabara hadi Rural Area..Kuna barabara zinasimamiwa na Halmashauri..Kuna barabara za mikoa....Hizo zote haziko chini ya Tanroads...Hapo tumekupa total Paved Roads😂😂😂😂Tanroad wanajishugulisha zaidi na Trunk Roads😂😂😂😂
 
Hakuna summary kwamba kwa mwaka huu 2018 total paved road Za Tanzania Ni km ngap?pamoja na Kenya
 
Wewe zero brain..Hapa kuna Agency nyingi zinazo fanya kazi ya ujenzi wa barabara...Tena kuna agency mpya imekuwa formed na Magufuli inaitwa TARURA...Yenyewe inakuwa inafanya ujenzi wa barabara hadi Rural Area..**** barabara za zinasimamiwa na Halmashauri..Kuna barabara za mikoa....Hizo zote haziko chini ya Tanroads...Hapo tumekupa total Paved Roads😂😂😂😂Tanroad wanajishugulisha zaidi na Trunk Roads😂😂😂😂
Paved Road ni barabara yenye Tarmac...😂😂😂😂Utalia sanaaaa
 
Hakuna summary kwamba kwa mwaka huu 2018 total paved road Za Tanzania Ni km ngap?pamoja na Kenya
Hakuna ..Hizo niza 2015.Kwa sasa ujenzi unaoendelea TZ wa barabara watalia sana..😂😂😂😂Magufuli hapoi...Ujenzi wa Tram Dodoma nasikia umeiva..Muda sio mrefu tender inatangazwa...😂😂😂😂
 
Hawa tumewazidi kila kitu kizuri nayo wakatuzidi kwa yote mabaya kama vile njaa, omba omba, umasikini kama ule wa Haiti(LDC) , madeni na kusamehewa deni, uchumi mbovu, jeshi mbovu(read kukatakatwa na mapanga ilhali wamejiami na state of the art weapons), magonjwa, elimu duni, akili hafifu, na bila kusahau uvivu wa kipekee tena wanaongoza duniani.
 
Punguza povu..Come with real facts...Sio bra bra mingi hapa. Jibu kwa hoja....Dont cry like a lost goat...
 
I've read somewhere that untill the end of 2018 paved roads in Tz should be 12,000+ kms ,the aim is to make sure that all trunk roads are paved!!
 
I've read somewhere that untill the end of 2018 paved roads in Tz should be 12,000+ kms ,the aim is to make sure that all trunk roads are paved!!
Hizo unaongelea za agency gani?? Toa source tukujibu kwa facts.. Sisi hapa hatuongelei Trunk roads pekee but total roads...
 
Wewe zero brain..Hapa kuna Agency nyingi zinazo fanya kazi ya ujenzi wa barabara...Tena kuna agency mpya imekuwa formed na Magufuli inaitwa TARURA...Yenyewe inakuwa inafanya ujenzi wa barabara hadi Rural Area..Kuna barabara zinasimamiwa na Halmashauri..Kuna barabara za mikoa....Hizo zote haziko chini ya Tanroads...Hapo tumekupa total Paved Roads😂😂😂😂Tanroad wanajishugulisha zaidi na Trunk Roads😂😂😂😂

Nimekupa ramani ya barabara zote za Tanzania, hiyo ramani hapo haionyeshi tu barabara zilizo chini ya TANROAD.
Unayo matatizo makubwa kielimu, yaani unataka kumaanisha mumewashinda hata Nigeria kwa paved road, unajua maana ya paved road kweli au unahangaika.
Hehehe eti yaani mumeshinda hadi Morocco, nchi ambayo huwapa nyie misaada.....
Mumeshinda hata Denmark.... Yaani kama kuna Watanzania waliobahatika kwenda shule na wanasoma huu uzi lazima wanahisi aibu ya mwaka.
 
Hizo unaongelea za agency gani?? Toa source tukujibu kwa facts..
Huo mkeka ulikua ni wa budget ya barabara kwa mwaka huu walikua wametenga 1.5trillions tshs kuwalipa wakandarasi pamoja na muendelezo wa barabara zinginezo, sina tena document ile nilifuta
 
Back
Top Bottom