MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Yani wako na 7k paved pekee na ncho ni mara mbili ya kenya
By now inawezekana wamefikia 8k but still below 10k, Afrika ni aibu kweli balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wako na 7k paved pekee na ncho ni mara mbili ya kenya
Kenya labda ni 14k sai juu 4k ilijengwa in 3 yearsKenya mna 9000 hii ya Tanzania ni statistics za 2014
Ehh kitu 8k ikienda sana...huyu mwenye anasema 85k ata hajielewiBy now inawezekana wamefikia 8k but still below 10k, Afrika ni aibu kweli balaa.
Kenya mna 9000 hii ya Tanzania ni statistics za 2014
Ndio maana nastaajabu namna wakenya mnasema mpo mbali kumbe wote mulemule nilipigwa na butwaa nilivyoona kumbe hata nyinyi 10k za lami hamna,By now inawezekana wamefikia 8k but still below 10k, Afrika ni aibu kweli balaa.
Soma hapo kwenye topicThe last time I checked tulikua paved 14,420 km
Hiyo 9,000 umeitoa wapi.
Financial year 2013/2014. Since that time zimejengwa/ zinajengwa mob sana.Road Network Length and classification - Tanzania Mainland
The classified road network financed by the Roads Fund is about 87,581 km where only 8.7 percent equivalent to 7,611 Km is paved and 91.3 percent are unpaved and therefore susceptible to heavy rain.
The attachment shows breakdown of the entire road network and the state of pavement.
Financial Year:
2013/2014
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland | roadsfund
https://roadsfund.go.tz/sites/default/files/RoadNetworks/Road Network in Tanzania Mainland_0.doc
Soma hapo kwenye topic
Hata Tanzania Road Fund haihusiki na barabara za mikoa na zile za halmashauri kwa hiyo nazo zikiwekwa lazima figure itapandaHii hapa infographic kutoka kwa website ya ikulu
Kufukia 2017
- Paved highways zilikua 9,024km
- Halafu new and reconstructed rural roads ilikua 4,706km
- New and reconstructed urban 2,388km
Ukiangalia publications za CIA kwenye mwaka wa 2017
total: 161,452 km
paved: 14,420 km (8,500 km highways, 1,872 urban roads, and 4,048 rural roads)
unpaved: 147,032 km (2017)
The World Factbook — Central Intelligence Agency
![]()
Soma hapo kwenye topic
Hata Tanzania Road Fund haihusiki na barabara za mikoa na zile za halmashauri kwa hiyo nazo zikiwekwa lazima figure itapanda
Bado zilizojengwa kuanzia 2014 mpaka 2018 hazijajumuishwa
Tanzania has doubled Kenya in terms of Paved roads..Kenya has 44,100km while Tanzania has 85,000km.. What real went wrong after independence???View attachment 960600View attachment 960601
SEARCH FOR: HOME ROADS Roads Tanzania Roads Road transport is the most widely used form of transport in Tanzania, carrying over 90% of the passengers and 75% of the freight traffic in the country. The number of road passengers in Tanzania rose by 32%, from 8,750 in Q2 2015 to 11,546 in Q2 2016.
The road network in Tanzania currently comprises 86,472 km of roads, of which 12,786 km are trunk roads, 21,105 km are regional roads and the remaining 52,581 km are district, urban and feeder roads.
Lami ya kuenda Ethiopia imekamilika.Si ndo maana nabishana nao kila siku kwenye hii thread
World bank ranks: Kenya second on logistics - JamiiForums
Mimi naijua Kenya vilivyo especially Northern Kenya ni vumbi tu ndo wanajitahidi kuiunga Nairobi na Ethiopia border Moyale kwa lami ila bado haijakamilika. Na kutoka Lamu kwenda Ethiopian border Moyale pia ni vumbi na tope!
Labda sasa Ila nimepita April kuna sections zilikuwa bado!Lami ya kuenda Ethiopia imekamilika.
Last year July nilitoka Nairobi hadi Addis kwa basi. Lami kuanzia Nairobi hadi Moyale ilikuwa imekamilika. Ukitaka evidence, ndio hii hapa:Labda sasa Ila nimepita April kuna sections zilikuwa bado!
Addressing residents in Moyale town, President Kenyatta said the commissioning of the new road and the Isiolo International Airport last Sunday will promote cross-border trade and improve the lives of Kenyans/PSCUNakuona unavyo jipa Moyo..Tupo 85K...km. wewe lia tu😂😂😂😂Yani wako na 7k paved pekee na ncho ni mara mbili ya kenya
Alafu hizo paved roads za Kenya zina pot holes sio mchezo😂😂😂Labda sasa Ila nimepita April kuna sections zilikuwa bado!
Yani hiyo ndo ina compete na 85k...km za TZ?? 😂😂😂😂Hii hapa infographic kutoka kwa website ya ikulu
Kufukia 2017
- Paved highways zilikua 9,024km
- Halafu new and reconstructed rural roads ilikua 4,706km
- New and reconstructed urban 2,388km
Ukiangalia publications za CIA kwenye mwaka wa 2017
total: 161,452 km
paved: 14,420 km (8,500 km highways, 1,872 urban roads, and 4,048 rural roads)
unpaved: 147,032 km (2017)
The World Factbook — Central Intelligence Agency
![]()
Kwenye barabara hamutuwezi na unajua hivyo. Unajitia hamnazo tu. Barabara za Kenya ni sawa na za ulayaAlafu hizo paved roads za Kenya zina pot holes sio mchezo😂😂😂
TANROADS hawawezi kuongelea barabara za Halmashauri bana, tokea lini wakafanya hivyo? Hizo barabara za Halmashauri hazikujengwa wala haziwi maintened na Tanroads sasa ni vipi wataziongelea?Hii hapa infographic kutoka kwa website ya ikulu
Kufukia 2017
- Paved highways zilikua 9,024km
- Halafu new and reconstructed rural roads ilikua 4,706km
- New and reconstructed urban 2,388km
Ukiangalia publications za CIA kwenye mwaka wa 2017
total: 161,452 km
paved: 14,420 km (8,500 km highways, 1,872 urban roads, and 4,048 rural roads)
unpaved: 147,032 km (2017)
The World Factbook — Central Intelligence Agency
![]()
Hapa hatuzungumzi kuhusu mawakala, kuna ile ramani ya TANROAD ambayo haikua inazungumza kuhusu trunk road zao pekee, ila mtandao wote wa Tanzania hadi feeder roads.
Tanroad inaongelea kuhusu barabara zote za tz ambazo total ni hio 87,000kmAhsante kwa kutuwekea data za Agency moja(Tanroads) ya barabara...Tanzania jumla zipo Nne...😂😂😂