Kenya has more dollar millionaires than Rwanda, Uganda and Tanzania combined

The article is in English but the stupid idiots are busy commenting in Swahili, what an amateurish illogical way of thinking.tanzanians are so foolish to the height of foolishness like their pathetic leaders with fake matriculated certificates
Wazungu wametushika pabaya sana. Ona mijitu mieusi ijavyopigana vikumbo kujiona bora kwa kujua lugha za wanaume wenzao wazungu… natumai kwa mtizamo wako pia wachina.. Wajapan… watakuwa watu wapuuzi sana manake kizungu kinawapiga chenga sana.. Na wewe unaejua Kiingereza utakuwa bora sana kuliko hawa wajapan etc… kazi ipo kwa kweli…
 
Wachina na wajapan wanafundishia kiingereza shuleni or is it part of their officials language? Don't put a wrong shoe on a wrong foot
 
Hoja ni mtu kuwa "bora" kwa kuwa anajua kiingereza… safari tunayo ndefu sana bado miafrika…
 
Tz mmetisha aiseei, mkuu wa mkoa vyeti fek! Shikamooo daudi bashite popote ulipo ww noma. Sasa hivi afrika yote inafatilia hako kamoviee hapo dar, patamu dah! Starring karib anakula mhogo wa sumu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Japokuwa nyie manyang'au siwakubali ila kama ishu ya bwana Davido imeshavuka boda nawapa Big up!
 
Back
Top Bottom