Most of our land upcountry imejaa coffee,macadamia and mangoes,ill start by 100 trees then next will scale it up pole pole
Wambie ukweli hai jamaa zako huko nyeri waje Iringa na njombe waone mzigo unavosepa India na UAE ndo walete swaga zaoNimeanza kutafiti ukulima wa parachichi maana ndio mpango mzima yaani....
Shukrani sana kwa ambao wanafanikisha soko lake....
Wambie ukweli hai jamaa zako huko nyeri waje Iringa na njombe waone mzigo unavosepa India na UAE ndo walete swaga zao
Hawana haja kuja huko maana Kenya sasa hivi imeipiku Afrika Kusini kwenye ukuzaji na uuzaji wa parachichi, na ndio kiongozi Afrika yote. Akili mtu wangu akili!!!!
Ni suala la mda tu mzee tutawapiku amini usiamini zao pekee mnaloweza kutuletea ushindani ni chai tuu