Kenya has the highest internet users to population numbers ratio in Africa and among the highest worldwide.

Kenya has the highest internet users to population numbers ratio in Africa and among the highest worldwide.

Duh Tanzania watu wanaotumia internet ni 23 million huku Kenya ni 43 million. Enyewe Kenya ni baba yao hapa Afrika Mashariki.
 
Hiki nacho ni kitu cha kujivunia wakati hiyo internet wengi wenu mnatumia kuangalia p0rn[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku mkimaliza kutatua vitu vya maana ikiwemo Kupambana na njaa ndo mje mtutambie,

our brothers down south have the highest number of witches & wizards ndio kwa maana kila siku wamejawa wivu, simanzi, chuki, majungu, hasira, tahamaki, etcetera.
 
Kenya has been ranked among the countries with highest number of internet users which currently stands at 89% of the total population. This truly signifies the the famous silicon Savannah phrase.
Kwani uko kenya total population Ni ngapi?
 
Hiki nacho ni kitu cha kujivunia wakati hiyo internet wengi wenu mnatumia kuangalia p0rn[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku mkimaliza kutatua vitu vya maana ikiwemo Kupambana na njaa ndo mje mtutambie,
nipatie list ya madem wakaree niende ni-search pare xfindios
 
Nataka kujua kenya population iko ni aje, hii number inaweza maanisha mpaka toddlers wanatumia gadget zenya iot!
 
Hiki nacho ni kitu cha kujivunia wakati hiyo internet wengi wenu mnatumia kuangalia p0rn[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku mkimaliza kutatua vitu vya maana ikiwemo Kupambana na njaa ndo mje mtutambie,

Miwivu za Tz knows no bounds.

Last time i checked the last 5yrs Kenya has scored higher than Tz in the annual innovation index .M-Pesa ,Ushahidi and I-Hub are Kenyan tech startups and venture capital funding for Kenyan startups went from $92.7m in 2016 to $147m in 2017.

Clearly we're doing a lot more vital stuff with our high internet penetration than Tz.(and i'm not surprised the only penetration that came to your mind is the one they do in porn)
 
Sasa hii nayo kitu ya kuonea wivu kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku mkifanikiwa Kupambana na njaa ndo tunaona mnafanya la maana

Miwivu za Tz knows no bounds.

Last time i checked the last 5yrs Kenya has scored higher than Tz in the annual innovation index .M-Pesa ,Ushahidi and I-Hub are Kenyan tech startups and venture capital funding for Kenyan startups went from $92.7m in 2016 to $147m in 2017.

Clearly we're doing a lot more vital stuff with our high internet penetration than Tz.(and i'm not surprised the only penetration that came to your mind is the one they do in porn)
 
Mnaongoza pia kwa njaa [emoji23], mnashindwa na nchi zenye majangwa kabisa kama Egypt, Libya , Chad
 
Meaning 70% of Kenyans have access to the internet. Thanks to fibre, and fast public internet Kenya seems to be the most connected country in Africa.
 
Hilo linaweza kua na ukweli...

Hata kwenye social media platforms, Kenya's are more active online than Tanzanian's, sababu hamna kazi za kufanya...

Cc: mahondaw

Badilika na wakati, kazi sio lazima kulima kwa jembe shambani, hii mitandao imewaajiri malfu ya vijana ambao wanapiga hela labda mara mia zaidi yako.
 
Back
Top Bottom