Kenya has the highest internet users to population numbers ratio in Africa and among the highest worldwide.

By your retarded logic, Americans are more active on social media than any other nationality on earth sababu hawana kazi ya kufanya?

Since when Americans wakawa na kazi za kufanya...

Kazi zao zote zinafanywa na wengine, wao ni unene uliyokithiri tuu...


Cc: mahondaw
 
Do you understand swahili? Nimekuambie mtaje mvumbuzi wa mpesa hapa.
Anaitwa Nyagaka Anyona Ouko. Yeye ndiye aliyeibuka na concept ya M-Pesa akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha JKUAT(Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology) mwaka wa 2002, kisha akawa'approach' Safaricom na Kencell(Airtel). Ila Safaricom wakamdhulumu kwasababu hakuwa amepata patent ya idea yake.
Patent ya 'mobile money transer' anayo sasa hivi lakini aliipata 2013, miaka kumi baada ya M-Pesa kuzinduliwa mwaka wa 2003. Walichofanya Safaricom ni kuizindua wakiwa wameibadilisha jina na kuiita M-Pesa.
 
Hizi ni no za devices meaning ip addresses au ?? Maana ukisema 43m hadi watoto wanatumia Internet watoto wachanga na wazee wa 90s
 
Reactions: nao
Do you understand swahili? Nimekuambie mtaje mvumbuzi wa mpesa hapa.
Samahani babu,najua uzee unakufanya usiione vizuri. Link ndio hio hapo juu,vaa miwani uione vizuri
 
Nyagaka Anyona Ouko.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ How much stake so far does he own anywhere? Huyo nasikia ni mkora hana mbele wala nyuma? Ni bora hata mnyamaze tu sababu hafananii hata na mpesa wakala
 
Nyagaka Anyona Ouko.

Na huyu Mr Bernard Gesora ni nani? Am curious to know

DFID amended the terms of reference for its grant to Vodafone, and piloting began in 2005. A student from Moi University in Kenya (Bernard Gesora Satia) came up with a mobile software that could allow people to send, receive, and withdraw money from their mobile devices. Safaricom however convinced the student and bought the rights of ownership of this project hence becoming the sole owners of the patent rights. Mr Bernard Gesora is now living in Bissil under squalid conditions. In April 2007, following a student software development project from Kenya,[10] Safaricom launched a new mobile phone-based payment and money transfer service, known as M-Pesa.[4]
 
How much stake so far does he own anywhere? Huyo nasikia ni mkora hana mbele wala nyuma? Ni bora hata mnyamaze tu sababu hafananii hata na mpesa wakala
Haya basi, acha tukubaliane kwamba M-Pesa ilibuniwa na watz.
 
Haya basi, acha tukubaliane kwamba M-Pesa ilibuniwa na watz.
Hakuna cha mpesa ilibuniwa na watanzania hapa, mnaonesha contradictions nyingi kwenye maelezo yenu, mara moi University student mara jomo University student hamueleweki kwa kifupi, na ni uongo.
 
Hakuna cha mpesa ilibuniwa na watanzania hapa, mnaonesha contradictions nyingi kwenye maelezo yenu, mara moi University student mara jomo University student hamueleweki kwa kifupi, na ni uongo.
Ok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…