Kenya hatarini kupoteza Haki ya kuandaa AFCON 2027 kwa kushinwa kulipa ada ya uandaaji

Katiba ya Kenya ni nzuri lakini bado Kenya ina ufisadi kuliko Tanzania
Lakini hilo haibadili ukweli kuwa katiba yao ni nzuri kuliko yetu.
Sisi katiba mbovu imepelekea mauaji ya maelfu ya vijana na ukiponda serikali unatekwa
Kenya ina wanaharakati wa kisiasa na wakosoaji wengi kuliko Tanzania na hawahofii kutekwa
Hv ukishakuwa na wakosoaji wengi na wanaharakati wengi ndo maendeleo?

Ebu naomba economic theory/assumption yoyote ambayo inaonyesha kuwa uwepo wa wanaharakati wa kutafuta katiba kwenye maduka ya simu au kwa shilole ndo chanzo cha maendeleo
 
Umepima vipi viwango vya ufisadi? Kenya wana sauti ukifanya ufisadi unaanikwa hadharani Dunia yote ijue. Sio kama Tanzania, juzi tu mwandishi wa habari katoa lawama kwa shirika kuhusu ratiba za ndege tu serikali imeingilia kati wanamwita mchochezi, nchi gani hii
1. Uliisha ishi kenya angalau hata wiki moja moja tu uone hali ya rushwa?

2. Kati yako wewe na yale mashirika ya kimataifa yanayoitaja tanzania kama nchi ya pili afrika mashariki kupambana na rushwa tumuamini nani?
 
Hv ukishakuwa na wakosoaji wengi na wanaharakati wengi ndo maendeleo?

Ebu naomba economic theory/assumption yoyote ambayo inaonyesha kuwa uwepo wa wanaharakati wa kutafuta katiba kwenye maduka ya simu au kwa shilole ndo chanzo cha maendeleo
Uhuru, sio maendeleo

Watu wanataka kuwa na uhuru wa kujieleza. Huwezi kulazimisha nchi nzima ifanane mtazamo na wewe

Kama ulisoma Human Rights kwenye Civics ya Form 2 kuna kitu kinaitwa "FREEDOM OF EXPRESSION". Lengo ni kuwawezesha watu ambao wako against mitazamo ya kisiasa ya serikali wajisikie salama kwa sababu wana thamani kama binadamu wengine
Ni part ya Democracy
Democracy ni pana sana, freedom of expression ni kipengele kimoja tu. Kuhusu maendeleo, vipo vipengele vya democracy vinavyohusiana navyo (mfano Transparency, Accountability na Good governance)
Tafuta kitabu cha Oxford cha Civics form 2 ujisomee Democracy & Human Rights. Kuna vitu vingi inaonekana hukuelewa wakati uko shule
 
1. Uliisha ishi kenya angalau hata wiki moja moja tu uone hali ya rushwa?

2. Kati yako wewe na yale mashirika ya kimataifa yanayoitaja tanzania kama nchi ya pili afrika mashariki kupambana na rushwa tumuamini nani?

Achana na porojo tuongee reality, Kenya wako na freedom of speach kitu ambacho serikali ya Tanzania inaogopa kwasababu ya ubadhirifu wake. Nakupa mfano, sio zoo, UAE wana entire safari park ambayo haina miaka mingi. Kila mtu anajua wale wanyama kauza Kikwete lakini mpaka leo hajatuonyesha receipt iko wapi. Wanyama wamepandishwa ndege usiku bila aibu lakini hakuna mtu mwenye uthubutu wa kuuliza.
Sasa jaribu kufanya hivyo Kenya uone balaa lake. Wabongo tunapenda kujipa sifa si zetu
 
Uhuru, sio maendeleo

Watu wanataka kuwa na uhuru wa kujieleza. Huwezi kulazimisha nchi nzima ifanane mtazamo na wewe

Kama ulisoma Human Rights kwenye Civics ya Form 2 kuna kitu kinaitwa "FREEDOM OF EXPRESSION". Lengo ni kuwawezesha watu ambao wako against mitazamo ya kisiasa ya serikali wajisikie salama kwa sababu wana thamani kama binadamu wengine
Ni part ya Democracy
Democracy ni pana sana, freedom of expression ni kipengele kimoja tu. Kuhusu maendeleo, vipo vipengele vya democracy vinavyohusiana navyo (mfano Transparency, Accountability na Good governance)
Tafuta kitabu cha Oxford cha Civics form 2 ujisomee Democracy & Human Rights. Kuna vitu vingi inaonekana hukuelewa wakati uko shule
Freedom without accountability and responsibility inakuwa ni criminal offense

Unapopigania uhuru wa kujieleza, wakati huo mbinu unayotumia inakwaza uhuru mwingne, hyo inageuka kuwa ni jinai kubwa mno.
 
Achana na porojo tuongee reality, Kenya wako na freedom of speach kitu ambacho serikali ya Tanzania inaogopa kwasababu ya ubadhirifu wake. Nakupa mfano, sio zoo, UAE wana entire safari park ambayo haina miaka mingi. Kila mtu anajua wale wanyama kauza Kikwete lakini mpaka leo hajatuonyesha receipt iko wapi. Wanyama wamepandishwa ndege usiku bila aibu lakini hakuna mtu mwenye uthubutu wa kuuliza.
Sasa jaribu kufanya hivyo Kenya uone balaa lake. Wabongo tunapenda kujipa sifa si zetu
Wale ni wapga kelele
Unapopga kelele bila matokeo huo ni wehu
-nipe mfano wa ambacho kiliwahi kupgiwa kelele kikaleta majibu sawa na matamanio ya wapga kelele?
-uhuru bila wajibu ni jinai
 
Freedom without accountability and responsibility inakuwa ni criminal offense

Unapopigania uhuru wa kujieleza, wakati huo mbinu unayotumia inakwaza uhuru mwingne, hyo inageuka kuwa ni jinai kubwa mno.
Nini kilipelekea maandamano?
Duniani kote sababu ya maandamano huwa ni ileile. "Kuharibu demokrasia"
Viongozi wengi hawapendi demokrasia kwa sababu wanaona inawabana kufanya ufedhuli wao. Wananchi wanataka demokrasia kwa sababu ndio mfumo pekee unaowa-treat kama binadamu
 
Wale ni wapga kelele
Unapopga kelele bila matokeo huo ni wehu
-nipe mfano wa ambacho kiliwahi kupgiwa kelele kikaleta majibu sawa na matamanio ya wapga kelele?
-uhuru bila wajibu ni jinai

Nimekupa mfano what Kikwete did to this country wakenya wasingemuacha atambe mpaka leo kama Tanzania, sasa sijui unasema nini?
 
Na hy hela wakilipa ,wakenya watapiga sana kelele

NB : kwa Nchi 3 , Kenya, Tanzania na Uganda,CAF wanavuna dola Million 90
 
Wasilipe tu wala rushwa CAF na warabu wao hawana maana yoyote. Alafu si wanajifanyaga serikali zisiingilie michezo wanataka hela ya nini sasa kutoka Serikalini ? Wanataka watoe hela alafu wakagawane huku na hongo nyingine wanachukua pumbavu
 
BORA ACHANENI NAO KABISA HAO CAF NA WAHUNI HAWANA MAANA KABISA HIZOZ PESA KAJENGEN VITUO VYA POLICE NA JAZENI HOSPT KILA KONA
 
WAPELEKE MOROCOO MBAFU HAOO HATUNA HELA ZA KIMCHEZO MCHEZO
 
Back
Top Bottom