Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Leo nilipo ingia jikoni nikamuona *sisimizi* mmoja kwenye kabati nikamuwekea *visukari* kidogo mbele yake akaanza kulamba na baadae kidogo akaenda kuwaita wenzake. Alipoondoka me nikaifuta ile sukari ili wenzie wamwone *muongo*. SIPENDAGI UJINGA MIMI* [emoji35][emoji35][emoji35][emoji12]
Waswahili sometimes tuna changamoto saana kiukweli..jirani zetu wameona kamsemo kanono wakakachukua na kuendelea kukasambaza nje ya mipaka waswahili tunawasimanga? Waswahili mungu anatuona!Kwa kuiga hamjambo
Wakenya kwa kuiga hashtags za Tanzania hawajambo.
Hiyo trend imeanzia Tanzania am happy you live our influence.
[emoji817]
[emoji23] [emoji23] ungemalizia na sipendagi mambo ya kijinga mimi.Acheni uzuzu aseeee Kuna argument mnaandika hadi naona aibu mimi