Kenya Hatupendagi Ujinga

Kenya Hatupendagi Ujinga

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,481
Reaction score
2,347
1476301299153.png
1476301307489.png
1476301315161.png
1476301319284.png
1476301342379.png
1476301349219.png
 
UJINGA TU.

Wa KE WASHAMBA SANA.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Duuuuuuh,kweli hawapendi ujingaujinga.
 
Wakenya kwa kuiga hashtags za Tanzania hawajambo.

Hiyo trend imeanzia Tanzania am happy you live our influence.



[emoji817]
 
*Kuna mtoto wa jirani ananibore sana kila nkimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nlimtuma sukari akala yote..* *Sahii nmemtuma superglue haongei* <br />*Sipendi ujinga mimi*<br />[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Leo nilipo ingia jikoni nikamuona *sisimizi* mmoja kwenye kabati nikamuwekea *visukari* kidogo mbele yake akaanza kulamba na baadae kidogo akaenda kuwaita wenzake. Alipoondoka me nikaifuta ile sukari ili wenzie wamwone *muongo*. SIPENDAGI UJINGA MIMI* [emoji35][emoji35][emoji35][emoji12]
 
Acheni uzuzu aseeee Kuna argument mnaandika hadi naona aibu mimi
 
Leo nilipo ingia jikoni nikamuona *sisimizi* mmoja kwenye kabati nikamuwekea *visukari* kidogo mbele yake akaanza kulamba na baadae kidogo akaenda kuwaita wenzake. Alipoondoka me nikaifuta ile sukari ili wenzie wamwone *muongo*. SIPENDAGI UJINGA MIMI* [emoji35][emoji35][emoji35][emoji12]

Hehehehe! Umetisha...
 
Juzi nilimwona panya anahangaika akijaribu kuingia kwa jirani, nikabisha mlango jirani akaufungua na hapo panya akapata fursa ya kuingia. Tenda wema nenda zako
ujinga.
[HASHTAG]#Sipendiujinga[/HASHTAG]
 
Kwa kuiga hamjambo
Waswahili sometimes tuna changamoto saana kiukweli..jirani zetu wameona kamsemo kanono wakakachukua na kuendelea kukasambaza nje ya mipaka waswahili tunawasimanga? Waswahili mungu anatuona!

Wamefanya kazi kubwa saana..kwani juzi kwenye mawasiliano ya Tyga na Chris baada ya show kalikuwemo kwenye conversation yao.

Tyga; hey whatsup nigga?

Chris; cool hommie, what's goin down in Atlanta?

Tyga; its pretty fine....! hey son! I've seen on twitter you broke somebody's phone..what's wrong nigga?

Chris; nigga she came running to me and want a selfie forcibly...so I took that phone and smash it on the floor...as huwa sipendagi ujinga mimi!

Tyga; hey what's that sipendagi ujinga mean men?

Chris; fogert about it..I just found that phrase Here and I loved it men!

Tyga; Daamn! That's shiit is funny.
Wakenya kwa kuiga hashtags za Tanzania hawajambo.

Hiyo trend imeanzia Tanzania am happy you live our influence.



[emoji817]
 
hahehehe hiyo ya fruits bragging is too much...... wabongo jifunzeni kujiachilia mara kwa mara. Hawa [HASHTAG]#KOT[/HASHTAG] ni wanoma sana kwa mambo za twitter wars, ni utani tu.
 
Back
Top Bottom