Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
mshahara the first week unakula kuku ,the second week unakula products za kuku ka mayai ivo the third week unaanzia kula chakula za kuku ka sukuma na spinach. The forth week unasaka job ya kufagia uchafu ya kuku at least usoto uckumalize
kumbe life Pia haipendangi ujinga
kumbe life Pia haipendangi ujinga