Kenya Hawana Chakula - Baada ya kufunga mpaka

Kenya Hawana Chakula - Baada ya kufunga mpaka

Mkuu kwa taarifa yako Super Markets za UK (Tesco) wanafanya packing ya mboga na matunda kutoka Kenya. Labelling inafanyika Kenya. (Mboga nyingine zinatoka Tanzania)
LOL mboga nayo ni chakula?

Kwenye plate yako huwa kipi kinawekwa kwa wingi ili ushibe kati ya veggies na portions nyingine?

At the same time umesema hata hizo mboga zenyewe nyingi zinatoka Tanzania? Hueleweki
 
Mkuu JokaKuu, JPM hajafunga mipaka kwa maana ile ile ya hao majirani zetu kututegemea...ila majirani wameamua kufunga yao.
Juzi kati kuna jamaa wamepitisha mizigo mpaka wa Holili bila shida kabisa.

..Bwana mkubwa ama haelewi, au ameamua kupotosha, suala la " kufunga " mipaka.

..wanaoshauri mipaka " ifungwe " hawamaanishi kwamba hata bidhaa muhimu, na shehena toka na kwenda bandarini, zizuiliwe.
 
Kuna pimbi mmoja yule wa kujiita Mk254 alikuwa anajinadi humu eti Kenya inakusanya chakula kipindi hiki Cha korona majirani wanashangaa tu, anazani cjui Kenya imezizidi Nchi zote hapa A.mashariki kwamba tatizo likiwa Kenya bc lazima Nchi zote lazima liwepo?. Anatamba serikali yake kukusanya chakula wakati chakula chenyewe wanakusanya kutoka kwa alienacho kingi ambaye ndio Tanzania Sasa tunakusanya vipi tena wakati kipo Cha kutosha
Credit: Standard Digital

Consumers pay more for cereals as border shut

View attachment 1416400

Grace Njanja, a cereals trader, going about her daily business at Nyamakima cereals market in Nairobi on April 8, 2020. There is a shortage of cereals, pushing up prices. [Edward Kiplimo,Standard]

Kenyans will spend more money on food as prices of cereals continue to rise.
This has been occasioned by closure of borders by the government in a bid to arrest the spread of the coronavirus, which had infected 184 cases and 7 deaths in the country as of Friday.

Although the government had allowed transportation of foodstuff across neighbouring countries, the stringent measures employed at the border has seen fewer vehicles arriving with the commodity. ''We struggle to get the goods, we used to import the cereals from Tanzania but after the closure of the boarder we only receive one lorry in a day to share among us all,” said Mwanzio Nzenga, a cereals produce trader in Nairobi.

On March 16, President Uhuru Kenyatta ordered that borders with Covid-19 affected countries to be closed and only cargo vehicles will be allowed into Kenya.

In the directive, trucks are to transit in a cluster with a 20 kilometre stopover. This is meant to closely monitor the movement of every vehicle and that the crew is maintained at two.

Trucks coming into Kenya have to be convoyed by police officers to their destination and back at the border point, in an effort to ensure that no vehicle deviates from the initial prescribed route.

The cessation of movement in and outside the capital by the government has also not helped the situation.

Unlike in the past where cereal traders would purchase the commodity on credit directly from the owner, they have been forced to purchase on cash by middlemen as the owners have been locked out of the country.

Strategic Food Reserve

“We used to buy directly from the owner of the cereals, now we are forced to buy from middlemen who sell to us expensively because few truck are coming from Tanzania,” said Njanja.

A 90kg bag of green grams has hiked from Sh8,000 to Sh9,500, while a bag of rice now goes for Sh10,800 up from Sh9,000 while a bag of beans now trades at Sh1,350 from Sh1,230.

This comes a day after Strategic Food Reserve (SFR) acknowledged that the country has no maize stocks reserve, increasing fears that Kenyans will have to cough more money to purchase food.

“As we speak, we do not have maize in our stores. As far as we are concerned, we think that most of the maize being held by farmers has been bought. I doubt if we have any maize held by small scale farmers,” said SFR chairman Dr Noah Wekesa.

Kenya imports majority of its cereals from Tanzania, the country makes Sh27 billion annually in cross-border trade, while Tanzania bags Sh11 billion in trade but the figures are expected to drop as the coronavirus pandemic continues to bite.

Uzuri moja JPM ametahadharisha kuhusu uhaba wa chakula. Watanzania tuwe macho na hili janga la Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio miaka mitano hata Sasa tunaweza tupo Kwenye eneo zuru pia asili yetu pia nzur mfano mdogo tu kenya inayo bandari Ila kazi Sana Kenya kuiwekea vikwazo Tanzania mpaka uathirike Ila Tanzania inao uwezo wa kuiwekea vikwazo Kenya ikahisi hasa tumewekewa vikwazo kwasababu Kenya tutaipata Kwenye chakula na viungo , hata Kama itanunua mwengine itatumika pesa Zaid tena kwa shida maana wakimtegemea mzambia nae hawez kufika bila kupita Tanzania kwahiyo TANZANIA tumejaaliwa Ila bahati nzur hatuna tu akil ya ubinafsi roho mbaya Ila Kama Kenya au Rwanda ndio ingekuwa Tanzania bc Nchi zingine zingeisoma namba
Kwa Africa mashariki ss ndo marekani yao baada ya miaka mitano tutakuwa tunauwezo hata wa kuwekea vikwazo nchi itakayozingua

Sent from my I phone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio tunategemeana Ila kwa kutegemeana hapo kinya inakua haina nguvu kwa kuhimili mikiki sababu inapokuja ishu Kama hii ya korona tatu watakayopata wananchi watanzania na Kenya tofaut wakenya watateseka zaidi sababu wao wanategemea pesa na pesa na chakula chakula no Mali kuliko pesa
..tunategemeana.

..Tanzania tunauza chakula.

..Kenya wananunua chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio tunategemeana Ila kwa kutegemeana hapo kinya inakua haina nguvu kwa kuhimili mikiki sababu inapokuja ishu Kama hii ya korona tatu watakayopata wananchi watanzania na Kenya tofaut wakenya watateseka zaidi sababu wao wanategemea pesa na pesa na chakula chakula no Mali kuliko pesa

Sent using Jamii Forums mobile app

..kwa uelewa wangu ugonjwa huu ukikukamata unakuwa mahututi na unapoteza hata uwezo wa kula.

..kwa hiyo haijalishi kwamba una chakula, au hauna chakula lakini una fedha.

..binafsi sidhani kama there is anything positive ugonjwa huu ukishambulia jamii zetu.
 
Wakija wanalazimika kukaa siku 14 karantini kabla ya kufanya lolote.... kwa gharama zao

Sent using Jamii Forums mobile app

..na humo mwenye karantini wakibainika wanaumwa nani anabeba mzigo wa kuwatibu kama siyo Tz?

..we r putting ourselves at risk. It is better to err on the side of caution.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] we jamaa unanichekesha Sana kwani unadhan shida ipo kwa mgonjwa?, Mgonjwa hata wa maralia hataman kula shida hii hali ya huu ugonjwa unaathiri wazima wanaohitaji kula kwa huku TZ athari zake sio kukosa chakula tunakosa Kama bidhaa kutoka China au kua bei kubwa ingawa pesa tunayo
..kwa uelewa wangu ugonjwa huu ukikukamata unakuwa mahututi na unapoteza hata uwezo wa kula.

..kwa hiyo haijalishi kwamba una chakula, au hauna chakula lakini una fedha.

..binafsi sidhani kama there is anything positive ugonjwa huu ukishambulia jamii zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimewahi changia humu juu ya ushirikiano wa viongozi wetu wa nchi Jumuia ya Africa Mashariki juu ya kuunganisha nguvu na mpango mkakati wa kukabiliana na janga hili!!

Nalifikiri viongozi wetu wangeweka utaratibu wa baadhi ya shughuli hasa zinazoonekana kuwa na athari kubwa katika jamii kuendelea lakini kwa umakini wa hali ya jui!!

Sasa naanza kuona athari za kufunga mipaka hasa katika nyanja ya chakula!! tayar wenzetu Inchi jiran wameanza kupata usumbufu wa hali ya juu!!

Nini kifanyike kwa ufupi!!
1. Viongozi wetu watoe msimamo wa inchi wanachama juu ya hatua zinazochukuliwa katika kupambana na hali ya njaa! pia watoe utaratibu maalum wa namna ya kuuziana bidhaa za chakula.

2. Kiwepo na vituo maalumu vya mapokezi ya bidhaa za chakula ili inchi husika ifanye logistics za usambazaji wa chakula hicho.

3. Ziteuliwe kampuni chache zitakazo husika na usambazaji kwa maeneo yaliyoathirika huku kukiwa na uangalizi wa karibu hasa wa Jeshi!

4. Viongoze watoea taarifa aina ya chakula kinachohitajika kwa wingi ili basi wanachi waanze kuweka utaratibu wa uzalishaji wa chakula hicho hasa kwa nchi zinazozalisha mazao ya chakula kwa wingi.

5. Viongozi wa mataifa haya wakataze kabisa wananchi kutovuka mipaka ya nchi zao, ili kuruhusu magari ya bidhaa za chakula kufanya kazi kwa 24hrs bila muingiliano[/QUOTE]
 
[emoji38][emoji38][emoji38] we jamaa unanichekesha Sana kwani unadhan shida ipo kwa mgonjwa?, Mgonjwa hata wa maralia hataman kula shida hii hali ya huu ugonjwa unaathiri wazima wanaohitaji kula kwa huku TZ athari zake sio kukosa chakula tunakosa Kama bidhaa kutoka China au kua bei kubwa ingawa pesa tunayo

Sent using Jamii Forums mobile app

..sidhani kama ni busara kuanza kupiga ramli kati ya Tz na Kny nchi gani itaathirika zaidi kwa Covid19.

..Kny ni ndugu na majirani zetu, wakiathirika wao na waTz na sisi tutaathirika kutokana na muingiliano wa kiuchumi na kijamii baina ya nchi zetu.

..mimi nadhani tushindane na Kny ktk mambo ya msingi na yenye heri. Tusishindane kwenye maafa kama Covid19.
 
Una Manisha ni food at all ? Such a good English speaking country!!! Maajabu
In a serious note [emoji1000] huwaga siyo shabiki wa politics au upande flani wa kisiasa lakini kwenye hili La kukataa kupiga lockdown naiunga mkono the government.

Jana tu Kenya [emoji1139] two women starved to death while waiting for government sponsored food.

Forceful lockdown ni government killing its own citizen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL mboga nayo ni chakula?

Kwenye plate yako huwa kipi kinawekwa kwa wingi ili ushibe kati ya veggies na portions nyingine?

At the same time umesema hata hizo mboga zenyewe nyingi zinatoka Tanzania? Hueleweki

Mkuu mboga kama sio chakula ni kitu gani labda tusaidie wewe pengine unafahamu Zaidi Kiswahili? Ukiangalia huyo mama anayeuza ana magunia ambayo yana maharage, Kunde, mchele nk

A cereal: is any grass cultivated (grown) for the edible components of its grain (botanically, a type of fruit called a caryopsis), composed of the endosperm, germ, and bran. The term may also refer to the resulting grain itself (specifically "cereal grain").
 
Utakua bc ujaelewa nini kinazungumziwa , point yangu Nchi kujieleza au kuhimili mikiki kutokana na majanga mfano korona au vikwazo

Back
Top Bottom