Kenya High Speed SGR Train on a Journey

Duh, wachina wamewala sio utani. Kusema hii ni high speed train na bogie zina kelele hivyo, mtachekwa. Hebu mliganishe treni ya Kenya na treni ya UK zote zinaenda takribani speed sawa. Ipi imetulia tulia?

Ooo! Imeshaanza rasmi au hiyo niliyoona ni trial run?
Mombasa lo, siendi huko, mimi nimezoea Kibosho Moshi au Sanawari Arusha. Asante kwa ofa lakini.

Ni trial run, inachana mbuga kwa kasi yake yote 120km/h ili kuona kama ipo imara.
Sasa wewe inafaa ung'atuke hapo Moshi, japo Arusha patamu, huwa naishia pale Florida na kuzienda chini kwa chini hadi alfajiri.
Lakini mami kama hujapenda Pwani, nakosa kukuelewa, patamu kwanza nipe fursa nikupeleke maeneo fulani ya Kigamboni au Bagamoyo nina uhakika utaiaga Moshi.
 
Hakuna patamu kuzidi nyumbani aisee! Kigamboni na Bagamoyo tena? Miji ya kiswazi sitaki ng'o!
 
Duh, wachina wamewala sio utani. Kusema hii ni high speed train na bogie zina kelele hivyo, mtachekwa. Hebu mliganishe treni ya Kenya na treni ya UK zote zinaenda takribani speed sawa. Ipi imetulia tulia?

Sasa lakini wewe, huoni hiyo ni light rail?? Ama ni ufahamu wa hii vitu huna??? Si utafute kujua man?
 
Virgin train UK ni cross county baba. Google uone network yao. Hiyo treni unayoiona hapo imetengenezwa Portugal. Guess nani anajenga first leg ya Tanzania sgr?
 
Duh, wachina wamewala sio utani. Kusema hii ni high speed train na bogie zina kelele hivyo, mtachekwa. Hebu mliganishe treni ya Kenya na treni ya UK zote zinaenda takribani speed sawa. Ipi imetulia tulia?

Wewe huoni hiyo ni ya stima ...then kenya sii uk ama china we are a small african country so stop hating man...
 
Virgin train UK ni cross county baba. Google uone network yao. Hiyo treni unayoiona hapo imengenezwa Portugal. Guess nani anajenga first leg ya Tanzania sgr?
Wacha basi tungoje tuone ya tanzania [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile yenye bado iko on papers ...sometimes Bragg when you have something to show ..si kila siku tuta ..tuki ...aaa wtf
 
Sawa, tuta.... tuki...jenga yetu utaona [emoji23] lakini $3.5 billion wachina wanawaletea hiyo? Wawape money back bana.
 
They have given us what we can afford, and it is why better!! In the next one year, with whatever they have given us, we will be way ahead of many countries in the world, leave alone Africa.
 
Sisi uku tunaangaika na kuwafunga wapinzani. Ukiwauliza mwaka huu wa budget wamefanya nn watakuambia kimoyomoyo tumejenga uwanja wa ndege chato, tumejenga ofic ya TRA chato, tumejenga ikulu chato na tunajenga bandari chato
 
Hahahaha... Bandari? Chato? Looo!
 
Speed ya kawaida sana... Alaf inakimbia kama inamatege...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…