Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooo! Imeshaanza rasmi au hiyo niliyoona ni trial run?
Mombasa lo, siendi huko, mimi nimezoea Kibosho Moshi au Sanawari Arusha. Asante kwa ofa lakini.
Hakuna patamu kuzidi nyumbani aisee! Kigamboni na Bagamoyo tena? Miji ya kiswazi sitaki ng'o!Ni trial run, inachana mbuga kwa kasi yake yote 120km/h ili kuona kama ipo imara.
Sasa wewe inafaa ung'atuke hapo Moshi, japo Arusha patamu, huwa naishia pale Florida na kuzienda chini kwa chini hadi alfajiri.
Lakini mami kama hujapenda Pwani, nakosa kukuelewa, patamu kwanza nipe fursa nikupeleke maeneo fulani ya Kigamboni au Bagamoyo nina uhakika utaiaga Moshi.
Duh, wachina wamewala sio utani. Kusema hii ni high speed train na bogie zina kelele hivyo, mtachekwa. Hebu mliganishe treni ya Kenya na treni ya UK zote zinaenda takribani speed sawa. Ipi imetulia tulia?
Duh, wachina wamewala sio utani. Kusema hii ni high speed train na bogie zina kelele hivyo, mtachekwa. Hebu mliganishe treni ya Kenya na treni ya UK zote zinaenda takribani speed sawa. Ipi imetulia tulia?
Virgin train UK ni cross county baba. Google uone network yao. Hiyo treni unayoiona hapo imetengenezwa Portugal. Guess nani anajenga first leg ya Tanzania sgr?Sasa lakini wewe, huoni hiyo ni light rail?? Ama ni ufahamu wa hii vitu huna??? Si utafute kujua man?
Haha, funny [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na yenu ya kuchemsha maji na kuni..... Pwahahahaha. Usiongee mdanganyika utachekwa
View attachment 476463
Ona kitu safii
View attachment 476464
Duh, wachina wamewala sio utani. Kusema hii ni high speed train na bogie zina kelele hivyo, mtachekwa. Hebu mliganishe treni ya Kenya na treni ya UK zote zinaenda takribani speed sawa. Ipi imetulia tulia?
Wacha basi tungoje tuone ya tanzania [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile yenye bado iko on papers ...sometimes Bragg when you have something to show ..si kila siku tuta ..tuki ...aaa wtfVirgin train UK ni cross county baba. Google uone network yao. Hiyo treni unayoiona hapo imengenezwa Portugal. Guess nani anajenga first leg ya Tanzania sgr?
Sawa, tuta.... tuki...jenga yetu utaona [emoji23] lakini $3.5 billion wachina wanawaletea hiyo? Wawape money back bana.Wacha basi tungoje tuone ya tanzania [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile yenye bado iko on papers ...sometimes Bragg when you have something to show ..si kila siku tuta ..tuki ...aaa wtf
Sawa, tuta.... tuki...jenga yetu utaona [emoji23] lakini $3.5 billion wachina wanawaletea hiyo? Wawape money back bana.
Sisi uku tunaangaika na kuwafunga wapinzani. Ukiwauliza mwaka huu wa budget wamefanya nn watakuambia kimoyomoyo tumejenga uwanja wa ndege chato, tumejenga ofic ya TRA chato, tumejenga ikulu chato na tunajenga bandari chato
Tatizo wakenya mnapenda sana mapicha...Na yenu ya kuchemsha maji na kuni..... Pwahahahaha. Usiongee mdanganyika utachekwa
View attachment 476463
Ona kitu safii
View attachment 476464
Kama hauwezi Comprehend hiyo statemenT nyamazaSikuulizia habari ya jukwaa ila ya treni.