Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Tizama population na eneo la mraba la Tanzania Vs KenyaDAS, RAS, RC, DC, IGP, AG, IA, etc Tanzania
Naunga mkono hoja, katiba nzuri ila hakuna ustaarabu...ni kàma huyu mzee anavyolalamikia matokeo wakati kila kitu kipo wazi1. Mmetoa Uhuru kupitiliza,
2. Mmejaza nafasi nyingi Sana za Uongozi (kwa kuchaguliwa na kuteuliwa-@county-Governor, Deputy Governor, senator, women rep, several MPs&MCAs),
3. Taasisi lukuki, IEBC, EACC, Cohesion and nn sijui, Land Commission, senate, National Assembly, Governors' council, County Assembly, SRC yaan full duplication
Katiba nzuri Ila Jamii isiyostaarabika **uncivilised society Ni kama nguruwe umvalishe kidani cha dhahabu.
Tazama pia idadi ya taasisi hizo hapa kwetu ni almost mara 100 ama zaidi ya huko Kenya. Usisahau kuhesabu kamati ndogo zinazoteuliwa kwenda kuteua kamati za kumsaidia Rais kusimamia tume maalum za kuchunguza utekelezaji wa mradi fulani.Tizama population na eneo la mraba la Tanzania Vs Kenya
Narudia, tizama idadi ya watu na eneo la mraba wa nchi husika.Tazama pia idadi ya taasisi hizo hapa kwetu ni almost mara 100 ya huko Kenya
Ongeza DED, Diwani,Mbunge,Mayor na Naibu MayorDAS, RAS, RC, DC, IGP, AG, IA, etc Tanzania
Analalamika kaibiwa kura lakini hasemi yeye kapata kura ngapi kwa myjibu wa mawakala wake.Naunga mkono hoja, katiba nzuri ila hakuna ustaarabu...ni kàma huyu mzee anavyolalamikia matokeo wakati kila kitu kipo wazi
Atasema ana kura ngapi wakati hajapewa matokeo, mkuu? Kumbuka IEBC ndiyo mamlaka pekee yenye kutangaza matokeo halali. Au hukuelewa?Analalamika kaibiwa kura lakini hasemi yeye kapata kura ngapi kwa myjibu wa mawakala wake.
Shida yake anataka uchaguzi urudiwe yaani kwa kushirikiana na,wale wajumbe wanne wa tume wanataka ionekane Ruto hakufika 50 +1 percent.
fomu za matokeo alipewa kila mtu na zinawekwa public, Au huelewi mchakato mzima ukojeAtasema ana kura ngapi wakati hajapewa matokeo, mkuu? Kumbuka IEBC ndiyo mamlaka pekee yenye kutangaza matokeo halali. Au hukuelewa?
Matokeo hukusikia yametangazwa? Yeye anabisha sasa yeye hakuwa na tallying centre yake?Atasema ana kura ngapi wakati hajapewa matokeo, mkuu? Kumbuka IEBC ndiyo mamlaka pekee yenye kutangaza matokeo halali. Au hukuelewa?
kumbe ww ni muumini wa kutopenda watu waishi kwa uhuru katika nchi yao??hyo point no moja inanifikirisha sanaa!!eti uhuru wa kupitiliza!!unataka watu wasiwe huru katika nchi yao????1. Mmetoa Uhuru kupitiliza,
2. Mmejaza nafasi nyingi Sana za Uongozi (kwa kuchaguliwa na kuteuliwa-@county-Governor, Deputy Governor, senator, women rep, several MPs&MCAs),
3. Taasisi lukuki, IEBC, EACC, Cohesion and nn sijui, Land Commission, senate, National Assembly, Governors' council, County Assembly, SRC yaan full duplication
Katiba nzuri Ila Jamii isiyostaarabika **uncivilised society Ni kama nguruwe umvalishe kidani cha dhahabu.
fomu za matokeo alipewa kila mtu na zinawekwa public, Au huelewi mchakato mzima ukoje
Mimi ndiye wakili wa RO, wakuu. Lazima nimtetee hivyohivyo, ilamradi pesa niliyoivuta kutoka kwake ionekane imetumika kihalali.Matokeo hukusikia yametangazwa? Yeye anabisha sasa yeye hakuwa na tallying centre yake?
🤣🤣🤣 hii ni hatariUsisahau kuhesabu kamati ndogo zinazoteuliwa kwenda kuteua kamati za kumsaidia Rais kusimamia tume maalum za kuchunguza utekelezaji wa mradi fulani.
Usiwaamshe waliolala.1. Mmetoa Uhuru kupitiliza,