Kenya hiyo Katiba yenu hamuiwezi

Kenya hiyo Katiba yenu hamuiwezi

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
1. Mmetoa Uhuru kupitiliza, kwa watu wapenda RUSHWA
2. Mmejaza nafasi nyingi Sana za Uongozi (kwa kuchaguliwa na kuteuliwa-@county-Governor, Deputy Governor, senator, women rep, several MPs&MCAs),
3. Taasisi lukuki, IEBC, EACC, Cohesion and nn sijui, Land Commission, senate, National Assembly, Governors' council, County Assembly, SRC yaan full duplication na ufisadi upo Tena unazidi eg. Land grabbing, rushwa etc.
Katiba nzuri Ila Jamii isiyostaarabika **uncivilised society Ni kama nguruwe umvalishe kidani cha dhahabu. Kwa sababu hajui thamani yake ataichafua tu.
 
1. Mmetoa Uhuru kupitiliza,
2. Mmejaza nafasi nyingi Sana za Uongozi (kwa kuchaguliwa na kuteuliwa-@county-Governor, Deputy Governor, senator, women rep, several MPs&MCAs),
3. Taasisi lukuki, IEBC, EACC, Cohesion and nn sijui, Land Commission, senate, National Assembly, Governors' council, County Assembly, SRC yaan full duplication
Katiba nzuri Ila Jamii isiyostaarabika **uncivilised society Ni kama nguruwe umvalishe kidani cha dhahabu.
Naunga mkono hoja, katiba nzuri ila hakuna ustaarabu...ni kàma huyu mzee anavyolalamikia matokeo wakati kila kitu kipo wazi
 
Wengi wenu mnafaa kuelewa ya kwamba demokrasia ni safari wala siyo destination. Njiani tutajikwaa, tutateleza na kuanguka. Lakini la muhimu ni kwamba hii safari ni lazima wakenya wote watembee pamoja kama kitu kimoja.
 
Naunga mkono hoja, katiba nzuri ila hakuna ustaarabu...ni kàma huyu mzee anavyolalamikia matokeo wakati kila kitu kipo wazi
Analalamika kaibiwa kura lakini hasemi yeye kapata kura ngapi kwa myjibu wa mawakala wake.

Shida yake anataka uchaguzi urudiwe yaani kwa kushirikiana na,wale wajumbe wanne wa tume wanataka ionekane Ruto hakufika 50 +1 percent.
 
Atasema ana kura ngapi wakati hajapewa matokeo, mkuu? Kumbuka IEBC ndiyo mamlaka pekee yenye kutangaza matokeo halali. Au hukuelewa?
 
1. Mmetoa Uhuru kupitiliza,
2. Mmejaza nafasi nyingi Sana za Uongozi (kwa kuchaguliwa na kuteuliwa-@county-Governor, Deputy Governor, senator, women rep, several MPs&MCAs),
3. Taasisi lukuki, IEBC, EACC, Cohesion and nn sijui, Land Commission, senate, National Assembly, Governors' council, County Assembly, SRC yaan full duplication
Katiba nzuri Ila Jamii isiyostaarabika **uncivilised society Ni kama nguruwe umvalishe kidani cha dhahabu.
kumbe ww ni muumini wa kutopenda watu waishi kwa uhuru katika nchi yao??hyo point no moja inanifikirisha sanaa!!eti uhuru wa kupitiliza!!unataka watu wasiwe huru katika nchi yao????
 
fomu za matokeo alipewa kila mtu na zinawekwa public, Au huelewi mchakato mzima ukoje
Matokeo hukusikia yametangazwa? Yeye anabisha sasa yeye hakuwa na tallying centre yake?
Mimi ndiye wakili wa RO, wakuu. Lazima nimtetee hivyohivyo, ilamradi pesa niliyoivuta kutoka kwake ionekane imetumika kihalali.
 
1. Mmetoa Uhuru kupitiliza,
2. Mmejaza nafasi nyingi Sana za Uongozi (kwa kuchaguliwa na kuteuliwa-@county-Governor, Deputy Governor, senator, women rep, several MPs&MCAs),
3. Taasisi lukuki, IEBC, EACC, Cohesion and nn sijui, Land Commission, senate, National Assembly, Governors' council, County Assembly, SRC yaan full duplication
Katiba nzuri Ila Jamii isiyostaarabika **uncivilised society Ni kama nguruwe umvalishe kidani cha dhahabu.
Usiwaamshe waliolala.
 
Back
Top Bottom