this is the most fucked up statement I've seen in here. You are the main reason why there's no hope for TZ today.
Napoona watu kama nyie mi hushangaa sana. Kwani wewe huota tu uzungu? Ndio sababu mnawachibua dada zenu ngozi na kemikali za kuwafanya wamee ndevu? Ndio sababu mnamuona Albino manafikiri ako na hela na kuwatafuna? Kweli ujinga haumtoki mjinga.
Kwa hiyo akiwa ni mzungu itabadilisha ukweli kuwa hiyo pageant imefanyika Kenya na contestants ni albino wa Kenya !!!!!......Je, ni nani organizer wa hiyo beauty pageant? Ni Mkenya asili au Mzungu?
Je, ni nani organizer wa hiyo beauty pageant? Ni Mkenya asili au Mzungu?
Sawa, lkn naomba nitajie organizer wa hiyo beauty contest, je ni Mkenya mweusi kama mimi na wewe au ni Muzungu?