Kenya holds first Mr and Mrs Albino Beauty contest

Kenya holds first Mr and Mrs Albino Beauty contest

this is the most fucked up statement I've seen in here. You are the main reason why there's no hope for TZ today.

Je, ni nani organizer wa hiyo beauty pageant? Ni Mkenya asili au Mzungu?
 
Napoona watu kama nyie mi hushangaa sana. Kwani wewe huota tu uzungu? Ndio sababu mnawachibua dada zenu ngozi na kemikali za kuwafanya wamee ndevu? Ndio sababu mnamuona Albino manafikiri ako na hela na kuwatafuna? Kweli ujinga haumtoki mjinga.

Sawa, lkn naomba nitajie organizer wa hiyo beauty contest, je ni Mkenya mweusi kama mimi na wewe au ni Muzungu?
 
Je, ni nani organizer wa hiyo beauty pageant? Ni Mkenya asili au Mzungu?
Kwa hiyo akiwa ni mzungu itabadilisha ukweli kuwa hiyo pageant imefanyika Kenya na contestants ni albino wa Kenya !!!!!......

Acha kujiaibisha kwa hoja za kipuuzi
 
Je, ni nani organizer wa hiyo beauty pageant? Ni Mkenya asili au Mzungu?

dude why are you asking questions that have already been answered up there. Go through the thread, it's barely 2 pages. Your answer is there. Yes since it matters so much to you, it has been organized by a black Kenyan

Find this post:
Sammuel999JF-Expert Member
#12
Today at 7:04 AM

Joined: Jun 1, 2016
Barbarosa she is the one who arranged the whole thing in conjuction with Vera beauty college and largely by albinism society of kenya

1477368204871-jpg.423833

1477368211761-jpg.423835
 
Nyie wakenya mbona siwaonagi kune jukwaa la love connect????[emoji276]

Nataka mluhya mmoja[emoji52] ....
 
Sawa, lkn naomba nitajie organizer wa hiyo beauty contest, je ni Mkenya mweusi kama mimi na wewe au ni Muzungu?

Tayari ulishaambiwa. Picha ishawekwa katika ukurasa wa kwanza. Maoni yako ni yapi sasa? Mara nyingi mie hufikiri ya kuwa licha ya mapungufu yako, wewe unaamini uafrika na wewe unaiheshimu ngozi nyeusi na kujivunia uafrika wako; kwanini kudunisha mtu mweusi na kumuona mzungu kana kwamba ni kitu cha kuabudiwa? Unatia aibu aise.
 
Back
Top Bottom