Si utakwenda kuishi mkuu,au tutaendelea kubanana hapa hapa!!!
hata wewe pia unaweza kuwa raia wa Kenya iwapo utakubali kuolewa na Mkenya na kuvishwa pete ya uchumba mbele ya kadamnasi kwa shangwe, vigelegele, nderemo na vifijoSi utakwenda kuishi mkuu,au tutaendelea kubanana hapa hapa!!!
hata wewe pia unaweza kuwa raia wa Kenya iwapo utakubali kuolewa na Mkenya na kuvishwa pete ya uchumba mbele ya kadamnasi kwa shangwe, vigelegele, nderemo na vifijo
Kenya hakuna wanaume.
Na wewe ni ke
Ni kweli aisee hajatoa jibu kabisa[emoji13][emoji13][emoji13]huyu huwa hana uhakika na jinsia yake.hawezi kukueleza.
Utaenda kibera au mathare ?Kenya, maendeleo hayawezi kuwatupa mkono kwa mwelekeo kama huu:
UHURU leaves some people in tears as he finally declares his stand on the proposed referendum
Kwa mwelekeo kama huu Kenya ni ya wao wote na itakuwa ni sehemu bora kabisa kwao ya kuishi.
Hawa wanayo sababu zote za kutembea vifua mbere na hata kufikiria kuwa donor country.