Kenya hongereni maana viongoz hakika i mnao

Kenya hongereni maana viongoz hakika i mnao

Si utakwenda kuishi mkuu,au tutaendelea kubanana hapa hapa!!!
 
hata wewe pia unaweza kuwa raia wa Kenya iwapo utakubali kuolewa na Mkenya na kuvishwa pete ya uchumba mbele ya kadamnasi kwa shangwe, vigelegele, nderemo na vifijo

Kenya hakuna wanaume.
 
Kenya hakuna wanaume.

Hako ka kizazi ka Lumumba book 7 kubishana nako ni kupoteza muda.

Hoja hawana. Kurumbana nao ni kuwapa kuwavimbisha vichwa tu kuwa nao wamo kumbe buree kabisa.
 
Mwisho wa siku ukileta pua in other people's affairs aka umakumaku hadi huko wanapotezwa tu
 
Back
Top Bottom