Kenya: Idadi ya walioambukizwa Corona yafikia 50

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
775
Reaction score
1,332
Waziri wa Afya ametangaza kuwa Kenya imepata visa 8 zaidi vya walioambukizwa Virusi vya Corona na kufanya jumla ya waliopata kuwa 50

Katika walioambukizwa 34 wanatokea Nairobi, 6 wanatoka Kilifi, 3 wanatoka Mombasa na Kajiado, Kwale na Kitui wana mgonjwa mmoja mmoja.

Waziri Kagwe amewaomba wakazi wa Nairobi kuacha kwenda nje ya Jiji kwani wazee wengi wanaishi huko.

=======

Health CS Mutahi Kagwe has announced that Kenya has recorded eight more coronavirus cases putting the country's total number to 50.

The CS said Nairobi now leads with 34 confirmed Covid-19 cases followed by Kilifi (6), Mombasa (3), Kajiado, Kwale and Kitui with one each.

Tracing of contacts for this 50 is ongoing.

Out of the 50 cases, 26 are male and 24 female.

"From the 2,050 people in mandatory quarantine, we have in the last 24 hours tested 172 samples, 84 samples have so far been analyzed and have received confirmation of 1 person who has tested positive for coronavirus," Kagwe said.

The CS urged those living in Nairobi to stop going upcountry during this period since a majority of the elderly people live there.

More than 720,000 people have been infected across the world and around 34,000 have died from coronavirus.

The government announced on Sunday that at least 1,000 medics will be hired in the next week to handle the rising number of coronavirus infection.

The new medics include nurses, clinical officers, lab technologists and doctors, among others.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dhahiri sasa kirusi kinasambazwa ndani kwa ndani, hakiji kupitia wageni tena, hivyo kila mmoja kwa namna yake achukue tahadhari.

Serikali iendelee na jitihada zake na sisi wananchi tuunge mikono bila shurti, huku majirani wakichekelea kila hatua tunayopiga ya kujichimbia dhidi ya kiama kinachokuja.

Pia tuepuke kwenda vijijini waliko wazee wetu, tupambane humu humu mjini.
 
Mkianza kukubaliana na ukweli, ndio mtaweza kupambana na hili janga

1) Nairobi kwa hii idadi yake, inapaswa kuwekwa chini ya total lockdown kwa siku 21
2) Ushauri aliotoa Ndii katika barua aliyomuandikia Uhuru Kenyatta, lazima uzingatiwe na kutekelezwa haraka sana kabla ya mambo hayajafikia pabaya zaidi.
3) Huu sio muda wa kuvimbisha vifua, lazima kujifunza katika nchi zilizofanikiwa kupunguza maambukizi.

Hii Corona pamoja na ukosefu wa lishe bora kenya itakuwa janga la ajabu.
Matunda yote ambayo husaidia mwili kudhibiti magonjwa chanzo ni Tanzania
 
Ukikula Mihogo na chair ya rangi ni sawa na aliye njaa. Utapia mlo umekidhiri sana Tz than in Kenya. Think about it before opening your empty skull.
 
kumbe kufung
Waziri wa Afya ametangaza kuwa Kenya imepata visa 8 zaidi vya walioambukizwa Virusi vya Corona na kufanya jumla ya waliopata kuwa 50

Katika walioambukizwa 34 wanatokea Nairobi, 6 wanatoka Kilifi, 3 wanatoka Mombasa na Kajiado, Kwale na Kitui wana mgonjwa mmoja mmoja.

Waziri Kagwe amewaomba wakazi wa Nairobi kuacha kwenda nje ya Jiji kwani wazee wengi wanaishi huko.

=======

Health CS Mutahi Kagwe has announced that Kenya has recorded eight more coronavirus cases putting the country's total number to 50.

The CS said Nairobi now leads with 34 confirmed Covid-19 cases followed by Kilifi (6), Mombasa (3), Kajiado, Kwale and Kitui with one each.

Tracing of contacts for this 50 is ongoing.

Out of the 50 cases, 26 are male and 24 female.

"From the 2,050 people in mandatory quarantine, we have in the last 24 hours tested 172 samples, 84 samples have so far been analyzed and have received confirmation of 1 person who has tested positive for coronavirus," Kagwe said.

The CS urged those living in Nairobi to stop going upcountry during this period since a majority of the elderly people live there.

More than 720,000 people have been infected across the world and around 34,000 have died from coronavirus.

The government announced on Sunday that at least 1,000 medics will be hired in the next week to handle the rising number of coronavirus infection.

The new medics include nurses, clinical officers, lab technologists and doctors, among others.

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe kufunga mipaka pamoja na lockdown ni geresha tu sasa bora watu waachiwe tu
 
kumbe kufung

kumbe kufunga mipaka pamoja na lockdown ni geresha tu sasa bora watu waachiwe tu

Kitu unafaa ufahamu ni kwamba idadi ya waathirika kwetu inapandisha kisa tunapima watu wengi kwa mkupuo maana uwezo huo tunao, maabara tunazo kadhaa, nyie hapo maabara ni moja inategemewa na nchi yote kuanzia visiwani mpaka mikoani wote lazima watume sampuli zao Dar, foleni ya sampuli imejazana huko. Kwa siku mnafaulu kupima wachache sana. Hivyo hata confirmation lazima ichukue muda.
Ndio unaona pia mnakua na mambo ya kuficha kama mlivyoumbuka kwa yule waziri hebu soma huu uzi hapa Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums.
 
Kwa ukaidi huu, tunaomba Mungu azidi kuwapa adhabu. Hakuna sababu yoyote ya kusikitika idadi ya wakenya wanyekupata maambukizi ikizidi kuongezeka

The score board reads
Kenya 50 with 2 deaths
Tanzania 19 with nor Death

Tunasubiria kesho tusikie tena, yajayo yanafurahisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana na shida zako sio lazima uweke mashindano na majirani ,kuhuse kucheka au kulia wewe haitakupunguzia chochote kwa lugha nyepesi usimwangalie mtu usoni fanya yako
Ni dhahiri sasa kirusi kinasambazwa ndani kwa ndani, hakiji kupitia wageni tena, hivyo kila mmoja kwa namna yake achukue tahadhari.

Serikali iendelee na jitihada zake na sisi wananchi tuunge mikono bila shurti, huku majirani wakichekelea kila hatua tunayopiga ya kujichimbia dhidi ya kiama kinachokuja.

Pia tuepuke kwenda vijijini waliko wazee wetu, tupambane humu humu mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea na mituno yako kupenda misifa ndio asili yenu huku bongo Kuna msemo unasema sifa zinaua nadhani na wewe huu msemo utakupitia kwa kua unapenda sifa za kijinga, eti tunapima wengi ndo mana tunamaabara nyingi mtanyooka tu mwaka huu shenzi
Kitu unafaa ufahamu ni kwamba idadi ya waathirika kwetu inapandisha kisa tunapima watu wengi kwa mkupuo maana uwezo huo tunao, maabara tunazo kadhaa, nyie hapo maabara ni moja inategemewa na nchi yote kuanzia visiwani mpaka mikoani wote lazima watume sampuli zao Dar, foleni ya sampuli imejazana huko. Kwa siku mnafaulu kupima wachache sana. Hivyo hata confirmation lazima ichukue muda.
Ndio unaona pia mnakua na mambo ya kuficha kama mlivyoumbuka kwa yule waziri hebu soma huu uzi hapa Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji40][emoji40][emoji40]we kiboko
Kwa ukaidi huu, tunaomba Mungu azidi kuwapa adhabu. Hakuna sababu yoyote ya kusikitika idadi ya wakenya wanyekupata maambukizi ikizidi kuongezeka

The score board reads
Kenya 50 with 2 deaths
Tanzania 19 with nor Death

Tunasubiria kesho tusikie tena, yajayo yanafurahisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatiz Wana kitu kujiona ,na ukia na kitu hiki bc wewe ushapotea maana unaathirika kissikolojia unaona kila unachofanya ni bora kuliko mwenzio na awez kufanya kitu bora kama wewe hiki ndio kinachowatesa ndio maana hata Kama wanakosea hawajui sababu ya kujikubali Sana na kanuni duniani inasema hata Kama unajua bc jifanye hujui ili ujifunze wao wanafanya kinyume chake
Hawa sio binadamu kabisa, hawapaswi hata kuwasikitikia wanapopatwa na matatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatiz Wana kitu kujiona ,na ukia na kitu hiki bc wewe ushapotea maana unaathirika kissikolojia unaona kila unachofanya ni bora kuliko mwenzio na awez kufanya kitu bora kama wewe hiki ndio kinachowatesa ndio maana hata Kama wanakosea hawajui sababu ya kujikubali Sana na kanuni duniani inasema hata Kama unajua bc jifanye hujui ili ujifunze wao wanafanya kinyume chake

Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri muda si mrefu wataanza kufa kama kuku, utasikia wanasema hata Tanzania pia watu wanakufa lakini tatizo hawana kipimo cha kugundua maiti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea na mituno yako kupenda misifa ndio asili yenu huku bongo Kuna msemo unasema sifa zinaua nadhani na wewe huu msemo utakupitia kwa kua unapenda sifa za kijinga, eti tunapima wengi ndo mana tunamaabara nyingi mtanyooka tu mwaka huu shenzi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio sifa ni ukweli kama ulivyo, tatizo kwenu hamjazoea kuambiwa ukweli mnapenda unafiki wa kufichana hali, unakuta ukiwa na mtu anakenua meno na kukutupia maneno matamu ila ukiondoka lazima akuseme.
Hapa nakupa elimu ya chekechekea kwamba ukiwa na vituo vingi vya kupima Corona lazima waathirka wako waonekane wengi maana unaondoa wengi wanaosubiri kupimwa.
Hii inaondoa mambo ya hovyoo kama hicho mlikifanya kwa wazir huko.
 
Kwahiyo Norway hawana vituo vingi ndio sababu wana wagonjwa wachache?, Vipi kuhusu Botswana na Sychelles?. Andaeni makaburi ya kuzika wafu wenu, ninyi ni failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi mna maabara nyingi kuliko mabwana zenu USA mbona wanalia lia ndo mana humu we unaonekana huna akili kwasababu unasheherekea upuuzi yani unavyofurahia hivyo vituo utazan serikali inatengeneza miundo mbinu kusema mtakua mmepiga hatua kiuchumi kumbe janga ndo mana unaambiwa usipende sifa za kijinga maana we hata Kwenye janga kwako wewe sifa

Back
Top Bottom