MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ninyi mna maabara nyingi kuliko mabwana zenu USA mbona wanalia lia ndo mana humu we unaonekana huna akili kwasababu unasheherekea upuuzi yani unavyofurahia hivyo vituo utazan serikali inatengeneza miundo mbinu kusema mtakua mmepiga hatua kiuchumi kumbe janga ndo mana unaambiwa usipende sifa za kijinga maana we hata Kwenye janga kwako wewe sifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Shule zenu lazima walimu wanapata tabu sana kuwaelimisha maana mpo genetically thick.
Nimesema mataifa yenye uwezo wa kupima watu wengi kwa mkupuo lazima waongoze kwenye kilio maana wanafaulu kugundua tatizo ndani yao limefika hadi wapi, kuliko shitholes wanaokaa wakisuiri kushtukizwa na matukio.