lusekelo ephraim
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 306
- 234
Kwanini wanatakwana sasaUnakumbuka jana tulichangia kuwa huenda Ametakwa au Amesepa. Yamkini hatukukosea kuwa Ametakwa
Inasikitisha mno..uelekeo wa siasa zetu Afrika
Not only Kenyans hii ipo kwa Africa ujmla inapofika kwenye maswala ya MadarakaHawa wakenya ni watu Wa ajabu sana yani. Wanauana kwa mambo ya kipuuz tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Au unapotezwa jumla au unapigwa risasi mbele za watu R. I. P MwangosiHuu ujinga Wakenya wameulea wenyewe kujifanya wanaiga Demokrasia ya Kizungu wkt wao ni Waafrika, sisi kwetu TZ ukileta ujinga ujinga Askari wetu wanakushika na haijalishi uko wapi hata Bungeni Askari wetu wanaingia na kukushikisha adabu, na bado moto utawaka Kenya na huo ujinga wenu wa democracy my dick!
Victim ni wengi sana. Lakini high profile huyo ndiye wa pili. Waziri anayehusika na mambo ya usalama wa ndani alifyekwa mwezi mmoja uliopita. General Nkaissery aliuliwa. Cha kustaajabisha ni kwamba replacement wake alitangazwa ndani ya masaa matatu baada ya kifo. Yaani rais aliteua kaimu ALAFU akatoa condolences kwa familia ya marehemu. That's Kenya for you.Pamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
Tujiandae kupokea wakimbizi, Raila hatokubali kuibiwa. Uhurutto hii damu ya Musando haitapotea bure.
hawajui maisha ya hapa duniani ni ya kupita tu.Dah, yote haya ni ili Mtu aitwa Rais?? MUNGU nisaidie Baba.
tena ni kwa miaka minne na nusu tuDah, yote haya ni ili Mtu aitwa Rais?? MUNGU nisaidie Baba.
Kenya wako mbali sana huwezi kuwafananisha na sisi. Ule uhuni wa znz ingekuwa kenya kisiwa kingezama. Watanzania ni wapumbavu na waoga.Ndiyo mnajidai kutulinganisha na Kenya kwenye demokrasia, muyaone hayo mjue Tanzania tuko katika Luigi ya aina yetu ukitulinganisha na majirani zetu hakuna wa kutufikia. Wao wanamuua mtu asiyewakosea lakini huku mijitu inaandaa hadi press conference kwa ajili ya kutukana Serikali, utaachwa?
Bora iwe hivyo ili watanzania muache kujifanya mnaweza kuwasaidia wapinzani wa serikali nyingine kushika madaraka ilhali kwenu mnawanyanyasa.sidhan kma uchaguzi wa mwaka huu utapita salama kuna kila dalili ya machafuko Kenya tena inaweza kua zaid ya yale ya 2007
Kenya wanakatana mapanga kwasababu hawapendi ujinga. Bongo maneno mengi na uoga mwingi. Ungese anaoufanya liplipmbavmbav ingekuwa kenya alishakatwa kichwa zamani.Kuna wapuuzi wanadai na kutuaminisha kuwa kuna mambo ya kujifunza Kenya kuhusiana na namna bora ya kufanya uchaguzi.Tunapaswa kuwaombea ulinzi wa MUNGU kenya ibaki salama.
Huo ndio ukweli mchungu. Mfano yule mkuu wa wilaya aliyefyeka mazao shambani kwa mtu ingekuwa kenya yeye na familia yake wangekuwa majivu kitamboWatanzania wamejaa unafiki na woga sio kweli kuwa tuna amani!! Ni waoga kusimamia ukweli! Wakenya walishaamka kitambo!!! Zimebakia nchi 2 tu africa ambazo ni mamburula.....Tanzania na Zim......!!! Zingine zimeamka zamani sanaaa
kwa kuwa huyo dada naye kauwawa, inawezekana yeye alitumika tu kama chambo ili waweze kumpata "Chris", rejea kisa cha Dada Yake Billionea Msuya na hse girl, hawa wa sasa hawakutaka kurudia kosaHuyo mshkaji nilikuwa nishaanza kumhurumia kwani ni dhahiri hii ni mauaji ya kisiasa. Ila jambo linaloniudhi ni kuwa wengi wa wanaouliwa huingia mtegoni wakiwa walevi na kutembea na Malaya. Msando pia imebainika alikuwa na kijischana cha 21yrs ilhali ana mke nyumbani! Hata kama haiusiani na kifo chake, ila huruma uniondoka kwani huenda ikawa ni faraja kwa mkewe aliyedhulumiwa.
Hiyo ni tafsiri yako!!kuamka kifikra sio lazima mpigane......ila wakizinguliwa kinawaka kweli!! Ujinga karne yake ilishapita zamanii!!!