Kenya: IEBC yatiliwa shaka baada ya sanduku la kura kupatikana kichakani

Kenya: IEBC yatiliwa shaka baada ya sanduku la kura kupatikana kichakani

Hata sifahamu nimeitoa kwenye Kampeni za Raila huko Kibera, walikuwa wanasema Kibera kidim, Kibera tialala, ikanivutia tu!
Given that Kibera needs lots and lots of good housing they should have used "Kibera T-beam " because thats the term used by contractors and proper builders to describe structural support of a house. Sasa hiyo "Kibera tialala" si inamaanisha inaleta tears ukilala kwa nyumba duni kabisa?
 
Sidhani kama IEBC wanahusika
Pengine ni NASA wanajaribu kutoka kuthibitisha kuwa wizi ulifanyika. Na hilo ni sanduku wametengeneza wakalitupa na kuita watu

Najiuliza IEBC ni wajinga kiasi gani mpk wakalitupe porini!? Kwann wasingelichoma moto!?
Hawa NASWA ni wapuuzi sana, wanajaribu kutengeneza mazingira ya kijinga kwenye hiyo kesi yao, hata haya mauaji watakuwa na mkono Huko!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Back
Top Bottom