Given that Kibera needs lots and lots of good housing they should have used "Kibera T-beam " because thats the term used by contractors and proper builders to describe structural support of a house. Sasa hiyo "Kibera tialala" si inamaanisha inaleta tears ukilala kwa nyumba duni kabisa?
Sidhani kama IEBC wanahusika
Pengine ni NASA wanajaribu kutoka kuthibitisha kuwa wizi ulifanyika. Na hilo ni sanduku wametengeneza wakalitupa na kuita watu
Najiuliza IEBC ni wajinga kiasi gani mpk wakalitupe porini!? Kwann wasingelichoma moto!?