Kenya imechaguliwa kuwa mwakilishi wa bara la Afrika kwenye Baraza la Usalama la UN kwa mwaka 2021-2022 baada ya kupata kura 37 dhidi ya 13 alizopata Djibout zilizopigwa na wanachama 51 kati ya 55 wa Umoja wa Afrika leo Agosti, 21 huko jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Ingekuwa Tanzania ndiyo imechaguliwa leo kusingekalika, ingekuwa hizo ni juhudi binafsi za Magufuli na CCM, ingekuwa Magufuli anaipaisha Tanzania hadi imechaguliwa, tumeyaona wakati wa kikao cha SADC.