Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,973
- 3,643
Sisi waafrika weusi sisi sio mazumbukuku hata kidogo mkuu, sisi ni werevu sana kuliko unavyodhani. Walipotuweza ni pale walipofanikiwa kutubadilisha mawazo ya kuwa kufanikiwa kwetu ni pale sisi waafrika tutakapokuwa kama wao, kama ambavyo wewe unawaza hivi sasa.Japokuwa Mimi ni Mtz, lakini uamuzi huu wa kuchaguliwa kwa Kenya kuiwakilisha Afrika huko UN ktk Baraza LA Usalama naunga mkono kwa 100%
Licha ya juhudi hizi ndogo zilizoanza, lakini Mimi binafsi naona aibu kubwa sana kwa sisi waafrika kuwa hivi tulivyo hivi Leo, Mpaka karne hii ya 21 bado sisi Waafrika weusi wa bara la Afrika tumeendelea "kuwa MAZUMBUKUKU", ndio maana watu weupe wanatudharau sana, wanatuona kama vile takataka au mapunguani