Japokuwa Mimi ni Mtz, lakini uamuzi huu wa kuchaguliwa kwa Kenya kuiwakilisha Afrika huko UN ktk Baraza LA Usalama naunga mkono kwa 100%Washamba wanaongoza SADC na werevu wanaitwa SADC..
Mbona tulishapata hicho kiti?Kenya imechaguliwa kuwa mwakilishi wa bara la Afrika kwenye Baraza la Usalama la UN kwa mwaka 2021-2022 baada ya kupata kura 37 dhidi ya 13 alizopata Djibout zilizopigwa na wanachama 51 kati ya 55 wa Umoja wa Afrika leo Agosti, 21 huko jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Ingekuwa Tanzania ndiyo imechaguliwa leo kusingekalika, ingekuwa hizo ni juhudi binafsi za Magufuli na CCM, ingekuwa Magufuli anaipaisha Tanzania hadi imechaguliwa, tumeyaona wakati wa kikao cha SADC.
yaani ingekua Tz imechaguliwa basi yangepigwa mapambio ya sifa mwezi mzima.
kizuri chajiuza kibaya ...............
mtu anayefanya kazi nzuri haitaji risasi kuwaonesha watu matunda mema ya kazi yake.
Tulipata wakati ule bado nchi inaongozwa na wastaarabu.Mbona tulishapata hicho kiti?
Hamia basi kenya
ilikua enzi hizi za kusifu na kuabudu?Tulishachaguliwa kitambo sana.
Ni mzinguko itafika tu tenaTulipata wakati ule bado nchi inaongozwa na wastaarabu.
I can't leave my country to dogs alone.
ilikua enzi hizi za kusifu na kuabudu?
Ni mzinguko itafika tu tena
Maana ulivyoandika kama vile hatujawahi na hatutawahi
Ukiangalia kura zinaonesha sie tumepigia kenya na tulipigia debe,ndio mana kenyatta alifika chato,hakutaka kufanya makosa kama walivuofanya kwa AminaAli wakakosa ukatibu mkuu wa AU
Tanzania oyeee
okey kwahiyo sio awamu hii ya kusifu na kuabudu.Cha msingi ujue tulishawahi, hayo mengine ni juu yako.
okey kwahiyo sio awamu hii ya kusifu na kuabudu.
Wacha nongwa za kikeeMbona tulishapata hicho kiti?
Hamia basi kenya
Kwa hiyo mamako kwa kua mwanamke nae ana nongwa?Wacha nongwa za kikee
Ila bado haina maana yeyote bado tutakuwa bendera inayofuata upepo tu na huyo mwakilishi wetuJapokuwa Mimi ni Mtz, lakini uamuzi huu wa kuchaguliwa kwa Kenya kuiwakilisha Afrika huko UN ktk Baraza LA Usalama naunga mkono kwa 100%
Licha ya juhudi hizi ndogo zilizoanza, lakini Mimi binafsi naona aibu kubwa sana kwa sisi waafrika kuwa hivi tulivyo hivi Leo, Mpaka karne hii ya 21 bado sisi Waafrika weusi wa bara la Afrika tumeendelea "kuwa MAZUMBUKUKU", ndio maana watu weupe wanatudharau sana, wanatuona kama vile takataka au mapunguani
Hiyo nafasi siyo ya mzunguko kama uenyekiti wa SADC ni kufanya kampeni ndiyo maana Kenya imepata kura 37 na Djibouti ikapata 13.Ni mzinguko itafika tu tena
Maana ulivyoandika kama vile hatujawahi na hatutawahi
Ukiangalia kura zinaonesha sie tumepigia kenya na tulipigia debe,ndio mana kenyatta alifika chato,hakutaka kufanya makosa kama walivuofanya kwa AminaAli wakakosa ukatibu mkuu wa AU
Tanzania oyeee