Kenya imechaguliwa kuwa mwakilishi wa bara la Afrika kwenye Baraza la Usalama la UN.

Sisi waafrika weusi sisi sio mazumbukuku hata kidogo mkuu, sisi ni werevu sana kuliko unavyodhani. Walipotuweza ni pale walipofanikiwa kutubadilisha mawazo ya kuwa kufanikiwa kwetu ni pale sisi waafrika tutakapokuwa kama wao, kama ambavyo wewe unawaza hivi sasa.
 
Tuli Tuta- tuta-tuli hizo ni ngeli za Tz kweli. Tuli-komboa haitambuliki Karne hii. Ali-fanya ilhali Kenya inasema Tuna-fanya, Tuna-wakilisha Afrika kwa UNSC mwaka wa 2020-2021.
 
yaani ingekua Tz imechaguliwa basi yangepigwa mapambio ya sifa mwezi mzima.
kizuri chajiuza kibaya ...............
mtu anayefanya kazi nzuri haitaji risasi kuwaonesha watu matunda mema ya kazi yake.
kwani unapata tabu mama!
 
Hiyo nafasi siyo ya mzunguko kama uenyekiti wa SADC ni kufanya kampeni ndiyo maana Kenya imepata kura 37 na Djibouti ikapata 13.
Nchi zetu za dunia ya tatu tunachokikosa ni kura ya VETO! Bila kuwa nayo hata moja lolote litakaloamuliwa kama halifurahishi nchi zenye veto basi halitapita. Veto moja tu inatosha kubadili matokeo. Kenya kuwemo itatoa nafasi kusemea matatizo tuliyo nayo. Who knows inaweza chaguliwa kuwa Rais wa baraza la usalama!!!! Hongera watani wetu sisi hapa ni sadc tu sijui mwaka kesho tutasema kipi!
 


Hakuna "lolo" wala "chocho" , Afrika yote hii ni aibu tupu.
Kwa nini mpaka Leo hii hakuna hata nchi moja kutoka bara LA Afrika ambayo INA uanachama wa kudumu ndani ya Baraza LA Usalama LA UN???
Sababu ni nini hasa kwa nxhi zote za Afrika takribani 54 kukosa kiti kimoja cha kudumu ndani ya Baraza hilo LA UN kama siyo "Uzumbukuku" wa sisi watu weusi??
 
Tuli Tuta- tuta-tuli hizo ni ngeli za Tz kweli. Tuli-komboa haitambuliki Karne hii. Ali-fanya ilhali Kenya inasema Tuna-fanya, Tuna-wakilisha Afrika kwa UNSC mwaka wa 2020-2021.

Wewe nenda kapambane na



Hizo ndo hali zenu.
 

Kwa nini mpaka Leo hakuna hata nchi moja kutoka bara LA Afrika ambaye INA uanachama wa kudumu/kiti cha kudumu ndani ya Baraza LA Usalama LA Umoja wa Mataifa??Kwa nini, kama siyo uzumbukuku tulionao?Nchi zote 54 hakuna hata moja ambayo INA uanachama wa kudumu? Zote kabisa?!!! Halafu wewe unaunga mkono?!!!

Hivi sisi waafrika tumefanikiwa kwenye nini?Nini maana ya mafanikio au maendeleo?watu kuendelea kufa kwa njaa ilahi tuna ardhi ya kutosha yenye rutuba?Watu kuendelea kuugua kipindupindu ilahi tuna vyanzo vya asili vyenye. Maji safi?au tumefanikiwa kwa jambo gani hasa???
 

Hata hivyo; ni juhudi za Magufuli zilizosababisha Kenya wakachaguliwa. Unajua kuwa wazungu waliomba ushauri kwa Rais wetu mpendwa ndipo akawashauri waipigie kura Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…