Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia Diamond
 
Kwani baada ya kumkataa Sylivia Mulinge kuna mtanzania anayeendesha VodaCom kama CEO au shida ni Mkenya ??

Ziara ya Rais Samia ni kubwa na imechukuliwa kwa ukubwa sana na wakenya ila kwetu sisi,

Muda wote ni wanyonge kazi yetu ni kujishuku shuku muda wote, kujiona wanyonge tutapigwa, hatujiwezi. Aisee

Huu ni ulemavu hakika.

Ningekuwa Rais nchi hii, ningegawa passport kwa kila mtu akazurule huko nje labda unyoronyoro ungetoka.

Mbongo muda wote ni kulalamika na kuhisihisi kujiona anaonewa muda wote.

This is too

..wenzetu wamewekeza kwenye UBUNIFU, sisi tumeng'ang'ania siasa na uzalendo uchwara.

..kwa mfano vijana wanahamasishwa wasijifunze KIINGEREZA na wenyewe wanaamini hivyo, halafu wakikosa kuajiriwa, na kupigwa bao na Wakenya, ktk sekta ya UTALII wanashangaa na kulalamika.
Tatizo tunalishana matango pori.
 
Kwani baada ya kumkataa Sylivia Mulinge kuna mtanzania anayeendesha VodaCom kama CEO au shida ni Mkenya ??

Ziara ya Rais Samia ni kubwa na imechukuliwa kwa ukubwa sana na wakenya ila kwetu sisi,

Muda wote ni wanyonge kazi yetu ni kujishuku shuku muda wote, kujiona wanyonge tutapigwa, hatujiwezi. Aisee

Huu ni ulemavu hakika.

Ningekuwa Rais nchi hii, ningegawa passport kwa kila mtu akazurule huko nje labda unyoronyoro ungetoka.

Mbongo muda wote ni kulalamika na kuhisihisi kujiona anaonewa muda wote.

This is too much.
Ni kweli mkuu passport zinahitajika ili watu wakajue maisha yanavyokwenda huko kwa wenzetu. Yani kila sehemu n kulalamika tu utadhan tunaumwa.
 
Kujilinda ni muhimu kama taifa. Kwani unafikiri watanzania hawana exposure ya masuala ya kimataifa?
 
Back
Top Bottom