Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 538
Rais Samia ni mtu mwema na yupo makini sanaRais Samia amefanya maamuzi sahihi sana kukutana na bilionea dangote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia ni mtu mwema na yupo makini sanaRais Samia amefanya maamuzi sahihi sana kukutana na bilionea dangote
Rais wetu mama Samia wewe ndiye tunayekutegemea kutufikisha nchi ya ahadiRais Samia ni mtu mwema na yupo makini sana
Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sanaRais wetu mama Samia wewe ndiye tunayekutegemea kutufikisha nchi ya ahadi
Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia kijana wa Ufipa anabwabwaja ili iweje?Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana
Mbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi woteKama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia kijana wa Ufipa anabwabwaja ili iweje?
Kufikia October Rais Samia na JPM walifikia 98% ya ushindi wao hata kabla ya upigaji wa kura kuanzaMbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi wote
Mbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na SamiaKufikia October Rais Samia na JPM walifikia 98% ya ushindi wao hata kabla ya upigaji wa kura kuanza
Tunamsubiri Malikia wa Uingereza naye aje kumsalimia Rais Samia na WatanzaniaMbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na Samia
Usimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazunguTunamsubiri Malikia wa Uingereza naye aje kumsalimia Rais Samia na Watanzania
MipasukoSwadakta kabisa mkuu, kinachoigharimu Tz yetu ni mifumo ya hovyo na ujanja² wa kiswahili. Mtoa mada + MATAGA wanahangaika sana kulinda legacy ya Jiwe, hawataki kusema ukweli kwamba uchumi wa Tz kudorora ni matokeo ya;
Hamna cha ujasusi wala nini.
- Sheria kandamizi
- siasa chafu
- ulimbukeni wa viongozi
- visasi
- wivu wa kitoto kwa wenzetu n.k n.k
CHADEMA Kila la kheri kwenu leteni mgombea atakayempokonya Samia hata asilimia tano ya kura 2025 kama nyie wanaume kweliUsimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazungu
Lissu Afanye kazi yeyote ila sisi hatumuhitaji,Rais Samia anatoshaCHADEMA Kila la kheri kwenu leteni mgombea atakayempokonya Samia hata asilimia tano ya kura 2025 kama nyie wanaume kweli
Watanzania wanampenda huyu Rais Samia haijwahi kutokea Hebu angalia Elimu bure Zahanati kila kona ya Nchi.Lissu Afanye kazi yeyote ila sisi hatumuhitaji,Rais Samia anatosha
Hongera Rais Samia kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati Tupambane tuwafikie USA sasa.Watanzania wanampenda huyu Rais Samia haijwahi kutokea Hebu angalia Elimu bure Zahanati kila kona ya Nchi.
Sisi Watanzania tunaenda na Rais Samia vyama vingine vimeamua kwenda na konyagi Shauri zao.Hongera Rais Samia kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati Tupambane tuwafikie USA sasa.
Tunapendekeza Rais ajaye awe na haiba kama za mama Samia ili aendeleze ukuaji wa uchumi wa kati.Sisi Watanzania tunaenda na Rais Samia vyama vingine vimeamua kwenda na konyagi Shauri zao.
Wakati wa kipindi cha uchaguzi mwaka jana 2020, siku tatu Rais Samia alikuwa amepumzika nyumbani kwa maana alikuwa na uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 95%.Tunapendekeza Rais ajaye awe na haiba kama za mama Samia ili aendeleze ukuaji wa uchumi wa kati.
CCM Wengi ni waadilifu kama Rais Samia. Huyu mama Samia anapaswa kuwa role model ya wanawake wachapakazi hapa Tanzania.Wakati wa kipindi cha uchaguzi mwaka jana 2020, siku tatu Rais Samia alikuwa amepumzika nyumbani kwa maana alikuwa na uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 95%.
Waambie hao Chadema kuwa siasa za kihuni zimepitwa na muda na sasa wamuombe msamaha mama yetu Rais Samia.CCM Wengi ni waadilifu kama Rais Samia. Huyu mama Samia anapaswa kuwa role model ya wanawake wachapakazi hapa Tanzania.
Kenyans are seriously and always after opportunities economical and financial gains. Other things and issues like oohh we're bothers and sisters; boundaries were just put at fostering colonization........ are just blah blah aiming at wining and cementing ways that could positively and substantially favour them.Mwaka juzi wa 2019 Mwezi November, JF Member My Son drink water aliwahi kusema kwamba "Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania, nashukuru Mungu tena dakika za mwisho TISS walistukia mchezo vinginevyo VodaCom nayo ilikuwa inakufa na ingekuja kufufukia Kenya"
==========
==========
Habari zenu waungwana wa jamiiforums
SEPTEMBER 28, 2018: Vodacom Tanzania said on Friday the government had denied its incoming chief executive officer, a Kenyan, a work permit, and it would have to restart the recruitment process.
In April, Vodacom Tanzania named Sylvia Mulinge, at the time head of business at Kenya's biggest telecoms operator Safaricom to the post. She was meant to take up her position on June 1.
==========
==========
HOJA YANGU: Kwani kama mtu alikuchangia USD 300 katika maandalizi ya harusi yako ni lazima na wewe umpe kiasi hicho hicho cha pesa yeye atakapokuwa anajiandaa kuoa/kuolewa?
Kwani kitendo cha Rais Uhuru Kenyatta kufuta work permits pamoja na Business Visas ni lazima kiwe nipe nikupe (quid pro quo) kwa taifa kubwa la Tanzania? Kuna ulazima wowote wa Tanzania nayo kufuta vibali hivyo kwa raia wa Kenya?
==========
==========
Baada ya Rais Kenyatta kufuta documents kwa wafanyakazi wa Tanzania ndio ninakumbuka maneno yaliyopo humu humu JF ya member mmoja anayetumia jina la My Son drink water kwamba;
"65% ya viwanda vilivyokufa Tanzania vilikuja kufufukia Kenya, tafsiri yake ni kwamba, Usalama wa Taifa wa Kenya, KNIA walifanya yao huku TISS yetu ikiwa imelala, na Kiwanda cha mwisho kuhamia Kenya ni cha General Tyres, yaani ajira zinakufa Tanzania kisha zinawafufukia Wakenya. Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania, nashukuru Mungu tena dakika za mwisho TISS walistukia mchezo vinginevyo VodaCom nayo ilikuwa inakufa na ingekuja kufufukia Kenya"
==========
View attachment 1778801
==========
SWALI: Tutegemee "Sylvia Mulinge" wa Safaricom kurudi kuwa CEO wa Vodacom endapo Tanzania itafuta work permits pamoja na Business Visas kwa raia wa Kenya?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.