KENYA IMEGAWANYIKA

KENYA IMEGAWANYIKA

Hii hoja yako haieleweki, chagua moja ya kuiponda kati ya Kenya na Jubilee. Muungano wa upinzani NASA ulisambaratika pia ila Kenya haikugawanyika. Jubilee ni muungano pia kama NASA lazima kutakuwa na mvutano wa mara kwa mara kati ya vyama ndani ya muungano. Ndio demokrasia hiyo. Sidhani kuna wakati wowote ule ambapo Kenya kumekuwa na umoja wa kitaifa kama sasa hivi. Yote kwasababu ya ile handshake kati ya rais Uhuru na Raila na wapambe wao pia. Siasa za chuki zinaendelea kutupiliwa mbali. Watch this space.
 
Back
Top Bottom