Kenya imenasa kwenye mtego wa Magharibi kupitia uchaguzi wa 2022

Tanzania tusikubali.kuwa na Katiba ya kienyeji kama hii,Bora tuweke Nguvu kubwa bungeni sio mahakamani.

Yaani serikali isiporidhika na uamzi wa Mahakama ni heri ipeleke shauri la Rufaa Bungeni Ili wabunge wakikubaki uamzi wa Mahakama unafutwa rasmi.
 
Hivi Kwa nini Wazungu wanatumia Nguvu sana kulazimisha ushoga? Wanataka kulenga nini hasa?
 
Kupunguza idadi ya watu Afrika. Mwanaume kwa mwanaume hawawezi kuzaliana.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwan wanashindwa kutuliga sumu tu?

Hiyo ni biashara ya shetani tu kuchafua roho za watu na kuondoka na kundi kubwa Motoni.

Wingi wa Waafriva wala si kikwazo kwa Mzungu.

Mzungu anachofanya ni Kitimiz wajibu yeye kama Wakala wa Kazi za Shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…