Kenya imenunua vichwa vya treni vya mtumba toka Spain kwa ajili ya "Nairobi light train"

I don't think there is any problem buying second hand locomotives we also import second hand cars .I think you're are just jealous of kenyas development.
You must must be mad, if there is no any problems, then why your fellow country men are using too much energy to deny?.
Buying old diesel engine trains is development compared to electric new trains?, who one should feel jealous?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini second hand wakati bei ya commuter trains mpya na za kisasa ni ndogo sana. Hawaoni Ethiopia na juzi Senegal wamefanya kitu cha aina hiyo kwa train mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mbosi moja washirika hilo alisema eti vichwa vipya vitatumia miaka 5 kutengenezwa wakati wao wanahitaji sasa.

God save us
 
Hata mie nashangaa middle income inachukua junky trains! Won't be surprised they cost more than brand new ones!
Hawa jamaa ni LDC ukilinganisha madeni waliyo nayo na GDP yao

God save us
 
tanzania ile MV bagamoyo saizi ni kifaa cha jeshi, hakuna kuhoji!........


katika kununua vitu chakavu, nadhan tanzania tunaongoza!......


subiri na hizi ndege, akiondoka huyu bwana madarakani mambo yote yatakua hadharani, maana saizi anazuia watu kuongea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…