Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Hapa tunaongelea magari ya kubeba watalii, ambo kuna kampuni iko Arusha wao ndio wenye kibali cha Ku modify Toyota land cruiser Africa mashariki yote. Na hizo gari zinauzwa Kenya na south Africa.Tanzania ndio inanunua body za mabasi Kenya...Master Fabrication Ni kampuni kubwa ambapo Basi nyingi za Tanzania zinatengenezwa huko
Kenya walianza kutengeneza body za magari ya safari kabla ya Tanzania.
HAL | Re-defining Safari Vehicle Conversion
Ukija kwenye mabasi ya abiria siku hizi makampuni mengi ya Tanzania yananunua mabasi kamili toka South Africa chini ya mwamvuli wa SADC.