Hizi video zako sio ushahidi tosha ya kuwa hakuna lolote linalofanywa. Hii unaona ni matunda ya freedom of expression!..
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
What were you expecting from them? You greatly underestimate the effects of ujamaa.Hili nalo ni swali?..
Zoezi lenu linaweza kufanikiwa kama mtapima kuku bandaniShughuli za kupima kupima kupima zinaendelea, hatutaki serikali itufikishe kwenye level ya kufuata maiti za watu kwenye nyumba zao. Idadi ya waliopona sasa ni 53.
Zoezi lenu linaweza kufanikiwa kama mtapima kuku bandani
Leo unapima watu 800 wapo negative,wanakwenda tena mtaani kuambukizwa
Dawa ni kuzuia maambukizi mapya,sio mass testing