Kenya imepima watu 800 ndani ya masaa 24 na kugundua waathirika 9

Kenya imepima watu 800 ndani ya masaa 24 na kugundua waathirika 9

Tanzanian curve is now rising drastically. As Kenya is now averaging 8 cases per day, Tanzania is now at 35 cases minus the hidden ones.
 
Shughuli za kupima kupima kupima zinaendelea, hatutaki serikali itufikishe kwenye level ya kufuata maiti za watu kwenye nyumba zao. Idadi ya waliopona sasa ni 53.
Zoezi lenu linaweza kufanikiwa kama mtapima kuku bandani
Leo unapima watu 800 wapo negative,wanakwenda tena mtaani kuambukizwa
Dawa ni kuzuia maambukizi mapya,sio mass testing
 
Zoezi lenu linaweza kufanikiwa kama mtapima kuku bandani
Leo unapima watu 800 wapo negative,wanakwenda tena mtaani kuambukizwa
Dawa ni kuzuia maambukizi mapya,sio mass testing

MaCCM mtunze akiba ya kauli zenu maana sijui mtabadilisha vipi kwa sababu naona kama serikali yenu imeamka na kuanza kuongeza kasi ya kupima, kwa siku moja tu mligundua waathirika 29, hiyo ina maana mumeanza kupata uwezo wa kupima zaidi ya watu kumi mliokua mnapima pima, maana ndio ufikishe waathirika 29 kwa mkupuo, hapo lazima utakua umepima wengi, la sivyo iwe mnaogelea kwa kirusi kwamba kila anayepimwa anacho.

Watu wapimwe hata ikiwezekana kila wiki upimwe mara moja, vifaa vya kupima vitakua kote hadi mitaani, lazima tupime na tupime tena na tena, ukigundua unacho unajitenga. Hiyo ndio namna ya kurudi kwenye shughuli za ujenzi wa taifa, mpaka siku mzungu ataleta chanjo.
 
Back
Top Bottom