Kenya imetoa picha gani kwa kuiruhusu Tanzania na kuiacha nje Somalia?

Sina tatizo na Kenya kuiruhusu Tanzania kwasababu hapakua na sababu zozote za msingi za kuifungia Tanzania, kitendo cha kuirudishe Tanzania ni sahihi kwasababu ulizozitaja na muhimi zaidi ni kurekebisha mahusiano ya ujirani.

Kama ilivyokua kwa Tanzania, hata Somalia hali ni hiyohiyo, Kenya ilipaswa kuirudisha Somalia siku ileile ilipoirudisha Tanzania, kwasababu hali ya Corona Somalia ni nzuri kuliko nchi nyingi ambazo Kenya imeziruhusu. Kumbuka Somalia na Kenya wameingiliana zaidi ya Tanzania na Kenya.

Picha inayojionyesha ni kwamba Kenya inabagua jirani zake, au inamdharau Somalia na kuithamini Tanzania zaidi, au Kenya inaiogopa Tanzania, dhana zote hizi sio nzuri kwa nchi ya Kenya, ingezifungulia nchi zote mbili kwa wakati mmoja, Hakuna dhana yotote kati ya hizo ingejitokeza na Kenya isingeathirika kivyovyote vile kwa kuiingiza Somalia.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hata wewe majirani zako kuna mambo wanashirikisha wa upande wa pili wewe wanakuacha, na mengine wanamuambia mkeo wewe wanakuacha sembuse nchi kama Kenya inayojali Maslahi ya Raia wake
 
Kama Kenya kweli inajali maslahi wa raia wake kamwe isingeiruhusu Tanzania nchi yenye wagonjwa wengi na vifo vingi vya Corona kushinda nchi yoyote katika ukanda huu, vipi mnaruhusu nchi ilitokataa kuchukua hatua yoyote muhimu za kujikinga na Corona na pia imekataa kutoa idadi ya maambukizi?, huko ndio kuwajali raia wake? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kama Kenya kweli inajali maslahi wa raia wake kamwe isingeiruhusu Tanzania nchi yenye wagonjwa wengi na vifo vingi vya Corona kushinda nchi yoyote katika ukanda huu, vipi mnaruhusu nchi ilitokataa kuchukua hatua yoyote muhimu za kujikinga na Corona na pia imekataa kutoa idadi ya maambukizi?, huko ndio kuwajali raia wake? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kuna wakati inabidi upande Bodaboda japo unajua ni hatari ili kuwahi mambo muhimu, hivyo hivyo kwa Kenya wamepima wameona njia ya kula na Kipofu
 
Tulishasema lazima Kunyaland, nyang'ao wa Kenya tuwanyooshe!! Tayari tumeshawanyoosha tayari
 
Kuna wakati inabidi upande Bodaboda japo unajua ni hatari ili kuwahi mambo muhimu, hivyo hivyo kwa Kenya wamepima wameona njia ya kula na Kipofu
Kwa hiyo maisha ya wakenya sio muhimu katika kuiridhisha Tanzania sio?, Tanzania kwanza, maisha ya wakenya baadae[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
kila dege la kenya likitua nchini lazima lipate maombezi ya kufa kirusi pale airport kabla abiria hata mmoja kushuka...huhuhu
 
Kama Kenya kweli inajali maslahi wa raia wake kamwe isingeiruhusu Tanzania nchi yenye wagonjwa wengi na vifo vingi vya Corona kushinda nchi yoyote katika ukanda huu, vipi mnaruhusu nchi ilitokataa kuchukua hatua yoyote muhimu za kujikinga na Corona na pia imekataa kutoa idadi ya maambukizi?, huko ndio kuwajali raia wake? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
wakenya wanafiki sana Mkuu.Safari hii wamekutana na Babalao.Long live Rais wetu mpendwa Dr.John Joseph Pombe Magufuli kwa kutudumishia heshima.Hapo Mkuu umemaliza kila kitu sijui kama kuna mtu ataweza kuijibu hoja yako hapo.
 
Mkuu ninakubali uyasemayo, wakenya wengi wamepata ganzi kutokana na matendo ya serikali yao, wengi hawaamini kinachotendeka, wameanza kugundua ujinga na unafiki wa viongozi wao, huu uzi wameususa kabisa, hawataki hata kuuona. Mwisho wa ubaya ni aibu, jamaa zetu wanazidi kujidhalilisha siku hadi siku.
 
Naona sasa maboresho ya hospitali yetu teule ya Milembe pale Dodoma yazidi kuboreshwa kwa hali hii tutarajie wagonjwa wa magonjwa yale kuzidi kutoka nchi jirani kwani hawajui watokako wala waelekeako.
 
Wakenya hawakutegemea kama tungezuia ndege Zao, wao walifikiri na sisi tungewaweka wakenya 14 wakifika Tanzania, hii imewastukiza ya kuzuia ndege zao, hawakuwa na jinsi ikabidi walegee na kutanua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom