Kenya inafikiria kuwarudisha wakimbizi wa somalia

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Hivi hebu tujadili, je kenya iwarudishe wakimbizi zaidi ya laki tano kwao Somalia? Sehemu kubwa ya wakimbizi hao ni waislam ambao alshabab wanadai wanawalipizia kisasi, kisa ni kuwa wanadai majeshi ya kenya yanaua waislam huko Somalia. Kinachonishangaza ni kuwa hao wanaotetewa na alshabab, walikimbilia kenya wakiwakimbia alshabab! Kama kenya ikiwafukuza halafu wakaenda kuuliwa na alshabab je kenya ilaumiwe? Je katika mazingira hayo wanaoshabikia alshabab kwa kisingizio cha dini watasemaje?
 
Umepotea Jukwaa...,
Huku si mahala pake.
 
Samahani uzi huu umeingia hapa kwa makosa ulikuwa umelengwa kwenye hoja na habari mchanganyiko. Mods naomba ufutwe
 
-Kenya, rudisheni hao binadamu nyumbani kwao.
-Watwikeni ni mizigo yao, waunde vizuri nchi yao ya kiislamu.
 
Kwani hao alshabaa na kenya wamecheza lini..na kwanini wawarudishe wakimbizi kwao....au kwa kuwa wamefungwa magoli 147 kwa 4
 
Back
Top Bottom