Kenya inaipenda Tanzania dhaifu haiwezi kamwe ikaipenda Tanzania madhubuti chini ya Rais Magufuli

Hamna ulichosema hapo labda maongezi za hapo juu tyu ndo nimeona
Sent using Jamii Forums mobile app
 

..mada yako imejaa CHUKI dhidi ya Kenya.

..hatuwezi kuwa taifa lenye chuki dhidi ya MAJIRANI zake muda wote.

..ukumbuke kwamba EAC tuliyonayo sasa hivi inakwenda kuwa CONFEDERATION.

..kwa hiyo ni vizuri tukaachana na chuki zisizo na msingi wowote, tujielekeze kwenye kudumisha UNDUGU.
 
Hpo uliposema ni bwawa namba moja Afrika si kweli, la kwetu litakuwa bwana namba 4 kwa ukubwa barani Afrika na la 1 Afrika ya Mashariki kwa ukubwa, hii ni kwa mujibu wa maelezo ya waziri mkuu Kassim Majaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa uongo huo, hata makala yake yoote itakuwa ni chai...ni walewale waimba mapambio tuu!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi murua kabisa,hapoa ndio ninapoipenda jamii forums kwa hoja kama hizi.Tushikamane na JPM
hapo mwisho ndio umebugi, kumbuka unaweza kufanya mengi mazuri ila ukiboronga hata jambo moja tu linafuta yale yote mazuri!.

hebu nambie, kwann jamaa anataka kuu kbs upinzani (kwa maneno & vitendo)...wewe unaona ni sawa nchi yetu kurejea enzi za mfumo wa chama kimoja?!

kwann hataki kukosolewa, is he a saint kwamba hakosei hata kdg??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, unajadili mambo mengi ya maana lakini kumbe hata details ndogo kama za abiria na mabasi huna. Ni siku nyingi sana sasa hakuna usafiri wa raia kupitia Kenya. Ni mizigo tu ndio inapita - ndio sababu ya malori/madereva.

Pia sijui kwanini unashangaa Kenya kushindana au kututakia mabaya!! Tuna sababu ya kushindana, na ni vema tusitegemee ushindani huo kuwa wa haki. Si huwa mnasema tuko kwenye vita ya kiuchumi - ndio hii.

Tuache tabia ya kulialia na kujitia unyonge. Vita na taifa la Kenya sio rahisi ukizingatia inapendelewa na mataifa makubwa. Na kwa bahati nzuri au mbaya tuna Serengeti/Ngorongoro wao wana Masai Mara, Tsavo. Tuna Zanzibar na wao wana Mombasa. Sote tuna ziwa Victoria. Wao wana viwanda vingi na uwekezaji mkubwa, sisi bado tunasusua. Sababu za kuwepo na vita kati yetu ni justified!!

Tuache kulialia, tuangalia strengths na opportunities zetu na tuzitumie hizo!!!
 
By the way, how much are you paid for such a crap?
 
Huo ni mtazamo wako mfu wa kimasikini,ujui kwamba Tanzania ikiinuka na east Africa yote itainuka sababu tunategemeana,pesa ya Kenya ndio imeijenga Arusha, Kilimanjaro na Tanga.Upo msemo kwamba ukitaka kuwa tajiri zaidi wainue wanaokuzunguka wakiinuka wewe utainuka zaidi.Jiulize why mabeberu wanatusaidia Sana tuinuke lengo ni kuongeza market at the end wao watainuka zaidi ,mfano Kijiji ni masikini unawapelekea miradi wazalishe at the end watakuwa na pesa then hata ukiwapelekea bidhaa yeyeto watakuwa na uwezo wa kununua mwisho wewe ndio utapata faida zaidi sababu unamiliki akili.
 
Rais Magufuli hata afanye mazuri vipi bila kurekebisha masuala ya haki za binadamu na kuacha kunyanyasa wapinzani hawezi kufurahia urais wake hata kidogo.
 
Tunategemeana tumekwama leo atuuzi nyanya,viazi mviringo, parachichi,mbao,madini,screpa Kenya hapa tunaathirika sote
 
Rais Magufuli hata afanye mazuri vipi bila kurekebisha masuala ya haki za binadamu na kuacha kunyanyasa wapinzani hawezi kufurahia urais wake hata kidogo.
 
NIWAKUMBUSHIE NA HAYA

1. Kenya hawana madini ya Tanzanite lakini kwa bara la Afrika ilikuwa ndiyo wauzaji wakuu wa Tanzanite. Kidunia wakiwa ni wa pili bàada ya India.

2. Madini kama dhahabu na almasi Kenya yanapatikana kwa kiwango kidogo sana lakini kwa kipindi cha nyjma wamekuwa wakiuza madini hayo kwa kiwango kikubwa sana na wakipata fedha nyingi sana za kigeni.

3. Kwa miaka mingi tumekuwa wateja wakubwa sana wa kununua bidhaa nyingi za viwanda vya kenya kama mafuta ya kula, sabuni za kuogea/kufulia, bia nk

Awamu ya tano imeondoa yote hayo kwa zaidi ya 90%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upinzani unajiua wenyewe ajili ya unafiki na tamaa pia suala la kukosea hata mbowe na genge lake wanakosea sana mbona au ndo hivo nyani haoni kundule
 
Tukipata wananch Kama ww nchi yetu inaweza kua ya Kwanza africa
 
Tukipata wananch Kama ww nchi yetu inaweza kua ya Kwanza africa
 
Kwahiyo hapa hoja ako hasa ni nini? Maana jamaa ameeleza jinsi wakenya wanavopambana kushindana kiuchumi na Tz baada ya kuona miradi ya kimkakati itakakayobusti uchumi wa Tz. Na amewatahadahrisha waTz dhidi ya propaganda za wakenya ili kudhorotesha Tz progess kwa kusema hii ni vita ya kiuchumi. Sasa analia lia wapi? Hapo hoja labda uyo ya kumpa taarifa kwamba hata abiria wa kwenye mabasi hawakuruhusiwa kuvuka boda ila vingine vyote umekurupuka. KAMA VIPI HAMIA KENYA
 
Such a nice compilation of a story to tell about our country. Congratulations.

Ni ukweli usiopingika kwamba salama pekee ya Kenya ni kuiona Tanzania inayo chechemea kiuchumi ili waendelee kuwa no 1 Afrika Mashariki. Kwa sasa wanatuogopa sana kwa sababu wanaona tumedhamiria kuchukua uongozi wa kiuchumi kwa Afrika Mashariki ndani ya miaka michache ijayo. God bless tuendelee kupiga hatua kimaendeleo na twende mbali zaidi.
 
Tanzania madhubutu ya Ukuaji uchumi wa asimia mbili 2020/2021 Imf and WB prediction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…