Lamu port. Funded by govt.Tanzania tunajenga mradi mkubwa wa UMEME gharama yake ni $3B, onyesheni mradi wowote sasa hivi Kenya mnaojenga wenye thamani ya $1B, hiyo pesa mnakopa kila siku mnafanyia nini?
We told you we don't have it, we are still making the supporting structures. We are therefore compensating it with this which is more modern.View attachment 1174566View attachment 1174567View attachment 1174568
Lamu port serikali yenu ilitoa $500M pekee miaka miwili iliyopita, lakini kila mwaka mnaendelea kukopa. Tafadhali onyesha mradi mmoja kuanzia January 2018 hadi Leo ulioanzishwa wenye thamani ya $1B.Lamu port. Funded by govt.
SGR
CBC
Affordable housing.
Any other quiz Mr. Rumors?
Lamu port serikali yenu ilitoa $500M pekee miaka miwili iliyopita, lakini kila mwaka mnaendelea kukopa. Tafadhali onyesha mradi mmoja kuanzia January 2018 hadi Leo ulioanzishwa wenye thamani ya $1B.
si za kuhesabu kama huku!Tutajie hizo flyover za mombasa..
Hahahaha, huo mradi gharama yake ni bei gani?, onyesha pesa hiyo imetoka wapi?. Ninyi mumepanga kuwakata wafanyakazi % ya salaries zao, stupid Kunyaland. Onyesha pesa mnayokopa mnapeleka wapi?Affordable housing.
Do you still have any question?
Hungry stomach can't fight.Let's cut the story short, Kenya vs Tanzania in boxing match who wins??!![emoji1787][emoji1787]. The two brothers bout
Deni la Kenya linazidi kuongezeka kwa kasi, hali hii inajitokeza wakati ambapo baadhi ya wakenya wanajisifu kukusanya pesa Mara mbili ya Tanzania. Jambo linaloshangaza ni kwamba, pamoja na majigambo ya kukusanya pesa nyingi, lakini GoK haina uwezo hata kulipa Madeni yake ya nyuma, hulazimika kukopa ili kulipa Madeni ya nyuma.Eurobond raises Kenya’s public debt to Sh5.8trn
Kenya borrowed on average Sh129.5 billion per month in the last three months of the 2018/2019 fiscal yearwww.businessdailyafrica.com
Pamoja na Kenya kukusanya pesa nyingi, na kukopa pesa nyingi kuliko nchi yoyote hapa EAC, lakini ni nchi ya mwisho katika kuwekeza katika miradi ya maendeleo, jambo hili limeifanya WB kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa Kenya kulipa Madeni yake kutokana na ukweli kwamba, pesa inayokopwa hutumika kulipia mishaara, kulipa Madeni na kugharimia shughuli za serikali ambazo ni kubwa kupita uwezo wa nchi.
Katika hali hii ni wazi kuwa "Future" ya Kenya kama nchi na maisha ya wakenya yapo mashakani, hasa ukizingatia kwamba sasa hivi Kenya inanunua zaidi kuliko inachokiuza katika nchi za Africa ambazo zilisaidia Sana kupunguza "Negative balance of trade " na nchi za Nje ya Afrika.
Taja 2 tu...mi sitaki utaje nyingi.si za kuhesabu kama huku!