Kenya inakuwa nchi ya 4 kuruhusiwa na Serikal ya Marekani kuruka moja kwa moja kutokea Nairobi hadi Marekani kwa ndege

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Shirika la ndege la Kenya linaungana na South Africa, Ethiopia na Misiri kama sijakosea kupewa kibali cha kuruka kutoka Jomo Kenyata Internationa Airport hadi New York.

Hivi vibali huwa havitolewi hovyo na kuna kazi pevu kupata kibali.

Hii maana yake kwa sasa Watanzani watako taka kwenda Marekani moja kwa moja watalazimika kwenda Nairobi ili waruke na KQ hadi New york.

Ni furusa pia kwao kwa utalii.
c8c1692f0bbf6c3fb39acc37baced581.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwenda hadi Nairobi halafu uunganishe hadi USA bado unasema waTz wanaotaka kwenda moja kwa moja? Ni sawa na kupanda Emirates,Ethiopian,KLM or SwissAir
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Ndio wamesharuka moja kwa moja.
Kinachoendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwenda hadi Nairobi halafu uunganishe hadi USA bado unasema waTz wanaotaka kwenda moja kwa moja? Ni sawa na kupanda Emirates,Ethiopian,KLM or SwissAir
Walau ukienda kenya kwa basi unapopanda ndege wewe hutapata mambo ya kuunganisha,kama mtasimama sehem ni kwa ajili ya kuchimba dawa na kujaza mafuta

May Allah bless Me and You
 
Sasa mimi ninaepanda KLM masaa,nane hadi Schippol kabla ya kuunganisha unalinganisha na wewe utakaepanda Taqwa masaa 12 roho mkononi? Are u serious?
Logically at least, utapanda KQ from Dar to NRB then pale tena unachukua KQ to NY or LA kwahio kwa mTz kuunganisha kuko pale pale.
 
Back
Top Bottom