CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Shirika la ndege la Kenya linaungana na South Africa, Ethiopia na Misiri kama sijakosea kupewa kibali cha kuruka kutoka Jomo Kenyata Internationa Airport hadi New York.
Hivi vibali huwa havitolewi hovyo na kuna kazi pevu kupata kibali.
Hii maana yake kwa sasa Watanzani watako taka kwenda Marekani moja kwa moja watalazimika kwenda Nairobi ili waruke na KQ hadi New york.
Ni furusa pia kwao kwa utalii.
Sent using Jamii Forums mobile app