CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Sasa kwenda hadi Nairobi halafu uunganishe hadi USA bado unasema waTz wanaotaka kwenda moja kwa moja? Ni sawa na kupanda Emirates,Ethiopian,KLM or SwissAirShirika la ndege la Kenya linaungana na South Africa, Ethiopia na Misiri kama sijakosea kupewa kibali cha kuruka kutoka Jomo Kenyata Internationa Airport hadi New York.
Hivi vibali huwa havitolewi hovyo na kuna kazi pevu kupata kibali.
Hii maana yake kwa sasa Watanzani watako taka kwenda Marekani moja kwa moja watalazimika kwenda Nairobi ili waruke na KQ hadi New york.
Ni furusa pia kwao kwa utalii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ni jirani unaweza enda hata kwa Basi ukafika ukapanda ndege ndo nacho manisha.Sasa kwenda hadi Nairobi halafu uunganishe hadi USA bado unasema waTz wanaotaka kwenda moja kwa moja? Ni sawa na kupanda Emirates,Ethiopian,KLM or SwissAir
Ndio wamesharuka moja kwa moja.Shirika la ndege la Kenya linaungana na South Africa, Ethiopia na Misiri kama sijakosea kupewa kibali cha kuruka kutoka Jomo Kenyata Internationa Airport hadi New York.
Hivi vibali huwa havitolewi hovyo na kuna kazi pevu kupata kibali.
Hii maana yake kwa sasa Watanzani watako taka kwenda Marekani moja kwa moja watalazimika kwenda Nairobi ili waruke na KQ hadi New york.
Ni furusa pia kwao kwa utalii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walau ukienda kenya kwa basi unapopanda ndege wewe hutapata mambo ya kuunganisha,kama mtasimama sehem ni kwa ajili ya kuchimba dawa na kujaza mafutaSasa kwenda hadi Nairobi halafu uunganishe hadi USA bado unasema waTz wanaotaka kwenda moja kwa moja? Ni sawa na kupanda Emirates,Ethiopian,KLM or SwissAir
Sasa mimi ninaepanda KLM masaa,nane hadi Schippol kabla ya kuunganisha unalinganisha na wewe utakaepanda Taqwa masaa 12 roho mkononi? Are u serious?Walau ukienda kenya kwa basi unapopanda ndege wewe hutapata mambo ya kuunganisha,kama mtasimama sehem ni kwa ajili ya kuchimba dawa na kujaza mafuta
May Allah bless Me and You
Kweli tunatofautiana mawazo. Yaani upande Taqwa masaa 12 roho mkononi ili tu ukapande direct flight NRB! Afadhali upande ndege KQ hio hio from Dar to NRB then KQ tena to Ny or LA etcKenya ni jirani unaweza enda hata kwa Basi ukafika ukapanda ndege ndo nacho manisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambaneni na hali yenuYes wamepata njia ya moja kwa moja, sisi tuendelee kupambana na wanasiasa
Sent using Jamii Forums mobile app