Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Mombasa has more millionaires than Dar Es Salaam....Landless Kenyans, wanashabikia uchumi wa kwenye makaratasi while majority are extremely poor. Ukitaja Kenya Maanake ni Nairobi. Wooote wamehamia Nairobi, Tz tuna chance ya kudevelop kuliko Kenya. Wakenya wanaongea sana ndio maana watz naona nao wameamua kuwajibu.