Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Mombasa has more millionaires than Dar Es Salaam....Landless Kenyans, wanashabikia uchumi wa kwenye makaratasi while majority are extremely poor. Ukitaja Kenya Maanake ni Nairobi. Wooote wamehamia Nairobi, Tz tuna chance ya kudevelop kuliko Kenya. Wakenya wanaongea sana ndio maana watz naona nao wameamua kuwajibu.
Barabara hii imejengwa kwa msaada wa watu wa Marekani..Nitajie achievement moja ya Mkenya kuacha like ambacho Mzungu amewafanyia!
Watu wanabomoa nchi nzuri iliyokuwa na kila kitu halafu unawaita hard working? labda hard working wa kubomoa lkn siyo kujenga!
Sema kama "wewe" sio "sisi" .Sisi wewe na nani kama sio wewe.mwenyewe .Wakenya wana fanya biashara kinoma sio kamasisi.
Wanashabiki uchumi wa kwenye karatasi hahahahahahLandless Kenyans, wanashabikia uchumi wa kwenye makaratasi while majority are extremely poor. Ukitaja Kenya Maanake ni Nairobi. Wooote wamehamia Nairobi, Tz tuna chance ya kudevelop kuliko Kenya. Wakenya wanaongea sana ndio maana watz naona nao wameamua kuwajibu.
Mombasa has more millionaires than Dar Es Salaam....
Ukikosoa tu basi wewe Mkenya... Nishakuwa Mkenya fasta...Your mouth can say anything so long as you pay no tax for that. That's what Kenyan are like, why are you not mentioning that you even have more wazungu and wahindi than Tanzania? .... Nairobi city centre has many jobless youth wondering than Dar. You might many Millionaires in Kenya than Tz but almost all are wazungu and Indians, while common black ass Kenyans fills the gatekeeper job. You are right!!!
Ukikosoa tu basi wewe Mkenya... Nishakuwa Mkenya fasta...
Bongo kumbe matajiri wengi ni weusi... Ebu nitajie weusi watatu tu wanaomiliki viwanda hapa Daslama..
Alafu nenda kwa SSB, METL na kule Mtwara kwenye kampuni za Statoil, Halliburton uone top officials wanatoka wapi... Kenya na Tanzania hatuna tofauti yoyote kwa uchumi wetu kutawaliwa na wahindi au wazungu... Bora hata Uganda wanaweza kupiga kifua..