Kenya inaongoza kwa idadi ya mabilionea ukanda huu, uchumi wa Nairobi pekee nusra ufikie uchumi wa Tanzania yote

Huyo Rostam ni Muhindi ama Muarabu?
The thing is even those so called Waarabu au Wahindi in Kenya none has become a billionaire! Even for Natives none has had the wealth of late Mengi approximated $600mln+! So better shut up!
 
The thing is even those so called Waarabu audio Wahindi in Kenya none has become a billionaire! Even for Natives none has had the wealth of late Mengi approximated $600mln+! So better shut up!


With your small economy, you've let Indians and Arabs dominate you and become billionaires while you have a very small number of millionaires yourself yet you beat your chest as an equal society. Here, we work hard and don't leave our econoy for Indians and Arabs to fully dominate...........and stop talking of dead people.
 
And yet World Bank tells of more inequalities in Kenya than in Tanzania!
 

Why almost all the Billionaires in Kenya are either Politicians or their affiliates?
 
Halafu uje useme sio wewe unaeletea mada za comparison ama mje mseme TZ wako obsessed with kenyans.

Kwani ungeandika ivi " Kenya yaongoza kuwa na mabilionea afrika mashariki" ungepungua nini? au ndio ulitaka kuonesha kuwa uchumi wa Nairobi pekee unakaribia Tanzania ilhali mwafa kwa njaa? mnakopa kama vichaa? Mmejaza kwenye maslums? ndio njia ya kutwambia kuwa utajiri wa kenya unawanufaisha wachache uku wengi wakiishi kwa kubahatisha? 😀
 
At least the inequalities are between black Africans and Black Africans, unlike you where Indians and Arabs are billionaires while Black people are paupers.
R u trying to say the report involves no rich people of Asian origin? Who r Patels, Chandarias, Shahs n Ravals! The fact is they own Kenya n not even in the list of billionares! Shame!
 
Hii list si ya kweli sababu mwaka 2017 ilitoka report tanzania ina over 200 milionaires dollars
 
Tanzania economy = $57b
Dar economy = $24b
Dar's economy is almost s half of Tanzania's economy.
Tafakari hayo kabla hujapewa majibu
 
Hahaha acha kujiaibisha basi wamlambez
Kenya ina maana gani katika makabila yote mliyonayo hapo shithole?
Watanzania si mnaumia sana sababu ya Kenya! Mbona mnatafuta ulcer bure? 😂 😂 😂
 
Tushawazoea ukiuliza has Wakenya weusi wenye fedha Kenya 99% Wakikuyu! Hawa ndo wanamuita Bakhresa Muarabu wakati ni mshirazi toka Zanzibar!
Kila mara mnatusema eti tunamilikiwa na Wazungu wakati nyie mko worse na Mkiambiwa mnaanza kulia eti ubaguzi.
 
Argument
Tanzania economy = $57b
Dar economy = $24b
Dar's economy is almost s half of Tanzania's economy.
Tafakari hayo kabla hujapewa majibu
Arguments nyingi za wabongo ni za kijinga na zimejaa mihemko
Unaposema uchumi wa Kenya yote ni Nairobi wakati unasahau kuwa nusu ya uchumi wote wa Tzn ni Dar unashindwa kuwaelewa.Hii ni kawaida kwenye nchi nyingi za Afrika kama Angola Nigeria Egypt etc
 
Tangu lini nyani akaona kundu lake?
 
kumbe hawa mabingwa Ethiopia pamoja na mbwembwe zote Addis in uchumi mdogo hivi?
 
Tanzania economy = $57b
Dar economy = $24b
Dar's economy is almost s half of Tanzania's economy.
Tafakari hayo kabla hujapewa majibu
Alafu heri sisi maanake 70% ya Kenya ni kame, Bongo nchi kubwa karibia mara mbili ukubwa wa Kenya, ardhi nzuri yenye rotuba, mvua kila mahali, Unaweza nunua shamba popote Tz na ukafanya ukulima halafu bado nusu ya uchumi umekolea Dar.
 
Alafu heri sisi maanake 70% ya Kenya ni kame, Bongo nchi kubwa karibia mara mbili ukubwa wa Kenya, ardhi nzuri yenye rotuba, mvua kila mahali, Unaweza nunua shamba popote Tz na ukafanya ukulima halafu bado nusu ya uchumi umekolea Dar.
You forgot to mention that they also have a bigger population. Hawa vilaza wanajua tu kuimba nyimbo za kusifu sisiemu government. They have almost everything but nothing to show for it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…