Hahaha usitake tuwaoe bure...Kupigana na adui wa South
Nyie vita hamuwezi, tatueni shida za wananchi wenu kwanza, zikiwemo Afya, chakula , elimu na utawala.Kupigana na adui wa South
Hhahaaa hawawezi thubutuKupigana na adui wa South
umenikumbusha ile video clip jamaa wanajiamini sana.Mi kila siku huwa nasema hili jeshi la kenya hawa vita hawawezi mtu anaekupigana vita huku ana bullet proof na bado ataka aingizwe ndani ya kifaru ajilinde wao wanataka kupiga vita na hawataki kufa,
Eehhh mnataka kupigana vita huku hamtaki kufa haaa kaa nyumbani.
Sasa nawe mtoa mada ungali hutambui wao wanunua silaha kwa ajili ya hao nduguze wa North(Al-shabaab).
Mambo ya kenya mbona hayakuhusu tuache na kenya yetu..wew kufa na hiyo country yako mandaz wewWakati zaidi ya wakazi milioni 2 wa nchi ya Kenya wakiwa hawana chakula na nchi hiyo imeomba msaada wa chakula kutoka nje, Serikali yake inatumia zaidi ya milioni 400 (USD) kununulia Silaha!
Kumbe fedha zipo, sasa kwa nini nchi ya Kenya ilikwenda kukopa kwa Wachina kujenga Reli? Kwa nini wasingetumia fedha zao kujengea Reli? Na isitoshe ni nani adui wa nchi ya Kenya mpaka itumie fedha zote kununulia Silaha?
Serikali ya Kenya yaomba msaada ya chakula kulisha watu wake!
Watoto wa Shule nchini Kenya, wakisubiri chakula!!
Unataka mpaka Alshabab wachukue nchi ndo ujue Kenya ipo katika wakati mgumu kiusalama? Mimi mwenyewe nilikua napenda kwenda kula raha Mombasa nimeacha kwasasa naogopa kuuawa na Magaida yanayoua watu wasio na hatia kama watoto, wazee na wanawake wasio hatia kwa jina la MunguWakati zaidi ya wakazi milioni 2 wa nchi ya Kenya wakiwa hawana chakula na nchi hiyo imeomba msaada wa chakula kutoka nje, Serikali yake inatumia zaidi ya milioni 400 (USD) kununulia Silaha!
Kumbe fedha zipo, sasa kwa nini nchi ya Kenya ilikwenda kukopa kwa Wachina kujenga Reli? Kwa nini wasingetumia fedha zao kujengea Reli? Na isitoshe ni nani adui wa nchi ya Kenya mpaka itumie fedha zote kununulia Silaha?
Serikali ya Kenya yaomba msaada ya chakula kulisha watu wake!
Watoto wa Shule nchini Kenya, wakisubiri chakula!!
Isnt Tz even greatly dogged by those very challenges? Why lecturing Kenyans?Nyie vita hamuwezi, tatueni shida za wananchi wenu kwanza, zikiwemo Afya, chakula , elimu na utawala.